ohoo,
is so sad to Kenyan, yan mnafkia sehemu mnasifia kualikwa white house ?,
friends be serous...!! nani kakwambia raisi wen u akienda USA atabadirisha uchumi na hali za hao wakikuyu hapo town?
Ni hivi Tz tulishaacha hayo mambo ya viongozi wake kufanya tour Europe na USA, cos ni km madoido tu ya utawala,
mwambie bro, aongoze nchi, aachane na hayo mambo ya kushabikia kupata mwaliko wa USA, ahangaike na kutatua tatzo la ukabila ktk nchi yake, aboreshe amani ya kwel dhidi ya alshabab,
mko nyuma kiuchumi sanaa, ardhi kwenu ni tatzo, find a way bro ya kutatua changamoto zenu za asili,
In East Africa there is only one president as role modal of African leader have to act, na huyo J.P. Magufuli, hajajipendekeza kwa USA & European tang aingie madarakani, anahimiza uzalishaji na ununuzi wa bidhaa za ndani, na athari ya uchumi wa Tz ushakua tishio kwa Africa.
ss nyie mnatatzo la rushwa ambalo mnajulikana nalo dunia nzima, then mnajisifu kualikwa na Trump, kwel bado mnatawaliwa kifikra na kupelekea matendo ya kijidhalilisha mbele ya wazungu km mfanyavyo.
God bless Tanzania again..
Kenyan wake up plz..