Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

Marekani imeongozwa na kichaa awamu hii washukuru wana strong Institutions
 


Trump uyu uyu alisema wakati juzi kati kaanzisha hii Vita tunayo sasa!!

Trump. Alidai Wairani ni watu wabaya sana sijawai kufanya mazungumzo na watu wa
aina hii❗️

Akaendelea kudai niwatu waongo mnazungumza tayali baadae wanabadilika ni watu wabaya sana❗️ niliwapa nafasi yakuzungumza lkn hapana kabisa❗️

Kwasasa sitaki tena kuzungumza nawao tutaendelea na Vita tuπŸ’ͺπŸ‘ˆ

baada ya kuchapika Vibaya leo kaja na nyimbo ile ile❗️❗️

Eti
Anadai sasa wapo kwenye Mazungumzo mazuri sana
na Iranian 🫎🫎🦘🦘

Japo Iranian wamekataa kufanyika mazungumzo yoyote na Marekani lkn Trump bado anasisitiza wapo kwenye mazungumzo na Iranian tena Mazuri sana🀠🀠🀠

Nisawa na Bondia mwenye maneno mengiii mwisho wa siku
anakukumbatia uku anajichekesha chekesha kukupunguza
hasira🫑🫑
 
Vp kama Iran ingekuwa imepakana na Marekani, hali ingekuwaje kwa Marekani?
au Iran angekuwa anapigana na Israel peke yake bila kusaidiwa na taifa lolote, hali ingekuwaje kwa Israel?
Wangekua wanapaka na iran wasingethubutu kurusha hata mkate mzee
Maana wangechapwa kama ngoma yaani
 
US wangepeleka their top negotiators hii ishu ingeisha mapema, wale Jamaa kina Witkof, Krushner, Vance ni watu wa dili wale sio wanadiplomasia.
 
US wangepeleka their top negotiators hii ishu ingeisha mapema, wale Jamaa kina Witkof, Krushner, Vance ni watu wa dili wale sio wanadiplomasia.
Sidhanii kama shida ni negotiators wao
Shida ni kwamba iran haikubaliani na matakwa ya marekani na marekani haikubaliani na matakwa ya iran
Ila siku marekani akikubaliana na matakwa ya sisi waajemi wa jf nawakule Tehran basi makubaliano yatafikiwa
Jana nilisikia bunge la iran wanajadili ama wanataka kujadili kupiga ban vyombo vya marekani na israhel kupita mlango wa Hormuz
Hii ikipita itakua Safi sana safari hii watajamba sanaaaaaaa
 
Unajua mkuu hawa Jamaa licha kutokubaliana, wale US negotiators niliotaja ni watu wa biashara hawana uzoefu wwte ule wa majadiliano ya kidiplomasia licha ya kwamba Wana jopo la wataalamu nyuma Yao, Trump ni mtu mmoja muoga Sana halafu kwenye issue serious huwa Yuko makini sana kusikiliza zaidi, wangekuwepo watu wa Diplomasia front, probably wangemshauri vizuri Trump maana wanadiplomasia kidogo wanaangalia mambo Kwa upana Sana halafu ni watu watulivu kwenye nyakati za Aina hii...

Iran wao Wana top negotiators ambao wana uzoefu mkubwa Sana kwenye masuala ya Aina hii, huwezi Kuongea nao Kwa mtazamo na akili ya biashara, ndio maana yakaitwa majadiliano Kwa maana kuna nafasi ya Kuongea vzuri na kubadilisha mitazamo yetu Kwa manufaa ya pamoja sasa US kina Krushner wanataka wanachotaka na vitisho juu!, hiyo sio Diplomasia....
 
Hapa nimekuelewa na kuhusiana na vitisho naona kwa iran watateseka sana
Ila siioni iran ikija chini ila ngoja tuzidi kutoa muda zaidi
 
Baada ya ile mwana ukome viongozi wa jordan walikuja juu kutaka wanajeshi wote wa marekani waondoke

Muajemi pale alijua kupavuruga mamaeeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…