Trump under Arrest

Trump under Arrest

Ndo rais pekee hapa duniani ambaye nimewahi muelewa na kumpenda toka mataifa yote ulimwenguni bila kusahau hapa kwa chief mkuu😭😭😭
 

Rais wa zamani Donald Trump yuko ndani ya chumba cha mahakama ya shirikisho huko Miami, ambapo anakabiliwa na mashtaka 37 ya jinai yanayohusiana na namna alivyoshughulikia hati za siri katika kituo chake cha Mar-a-Lago huko Florida.

Trump, ambaye ni rais wa zamani wa kwanza wa Marekani kukabiliwa na mashtaka ya shirikisho, anatarajiwa kujibu kutokuwa na hatia kwa mashtaka yote.

Haya ni mashtaka ya pili yanayomkabili miezi michache tu baada ya Trump kushtakiwa na juri kubwa la Manhattan katika kesi tofauti ya fedha ya siri.

Trump amekana kufanya makosa yoyote katika kesi zote na ameapa kuendelea na kampeni yake ya 2024 licha ya mashtaka hayo. Anatarajiwa kuzungumza Jumanne jioni mara tu atakaporejea katika kituo chake cha Bedminster huko New Jersey.

 
IMG_1310.jpg
 
One man army!!
Democrats wanajua bayana bila kumzuia huyu jamaa nje, akipitishwa tu kugombea Biden anaiga IKULU.

Mwamba sijui kama atatoka salama
 
Jamaa akisema Hatogombea Urais, hapo kesi inafutwa.



Makosa anayotuhumiwa nayo DT ndo alonayo JB ,maajabu JB haguswi yaan km hapa kwetu kama zilivyo familia za waleee jamaa!!.



Hapo RC ndo inamkazia Trump !!.
Trump anatuhumiwa kwa makosa gani?
 
Back
Top Bottom