Hilo ni tatizo lenu wenyewe Jamii za kiafrika zimekubali kuongozwa na wanaoahirisha kufikiri kwa nafsi a k.a kujizima data, tunaongozwa kwa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)Hatutaki fedha, shida yetu kubwa ni wananchi kushindwa kuchagua viongozi wanaowataka a kuwaondoa viongozi wasiowataka.
Kama unataka kumsaidia mwafrika saidia hilo, sio kutuletea fedha Wala vidonge vya uzazi wa mpango.
Ukitaka kumtawala mtu mfanye awe maskini. Maskini hana muda wa kufikiria vitu vikubwa zaidi ya kuhangaika na kutafuta chakula, matibabu, mavazi na malazi yake na watoto. Afrika watu ni maskini sana, na umaskini huu sio wa bahati mbaya bali umetengenezwa kwa kukoseshwa mitaji, technology, na masoko ya bidhaa zetu.Hilo ni tatizo lenu wenyewe Jamii za kiafrika zimekubali kuongozwa na wanaoahirisha kufikiri kwa nafsi a k.a kujizima data, tunaongozwa kwa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
Mitaji siyo tatizo kinachotakiwa ni kuthubutu na mazingira wezeshiUkitaka kumtawala mtu mfanye awe maskini. Maskini hana muda wa kufikiria vitu vikubwa zaidi ya kuhangaika na kutafuta chakula, matibabu, mavazi na malazi yake na watoto. Afrika watu ni maskini sana, na umaskini huu sio wa bahati mbaya bali umetengenezwa kwa kukoseshwa mitaji, technology, na masoko ya bidhaa zetu.
Yaani hata nchi ikiwa na mifumo mizuri ya kidemokrasia na kisheria ikiwemo katiba nzuriiiiiii na tume huru ya uchaguzi ni kazi bure TU. Itasaidia TU kubadilisha aina mpya ya watawala TU basi ndiyo maana Kenya Wana tume huru ya uchaguzi nzuri na mfumo mzuri wa mahakama lakini hata wao hali yao ni ileile TU. Shida yetu kuu ni ukosefu wa mitaji, technology na masoko huru ya kuuzia rasilimali zetu,Mitaji siyo tatizo kinachotakiwa ni kuthubutu na mazingira wezeshi
Swali je nchi za kiafrika zina mifumo ama sera zinazo fanyakazi ya kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja? Kwa wananchi wake
Tumeshuhudia sera za majukwaani ambazo mara nyingi husabisha changamoto kwa wananchi, maamuzi ya kisiasa huwa yana pande mbili kupata matokeo chanya ama hasi
Swali fikirishi kwanini wataalamu hutengeneza ama kubuni sera ambazo hazina muelekeo je Nikweli kwamba wanasiasa hushawishi waandaaji wa sera ili zisababishe waendelee kufanya siasa?
Mkuu mtaji siyo tatizo mimi ni mjasiriamali pia muelimishaji ujasiriamali,Yaani hata nchi ikiwa na mifumo mizuri ya kidemokrasia na kisheria ikiwemo katiba nzuriiiiiii na tume huru ya uchaguzi ni kazi bure TU. Itasaidia TU kubadilisha aina mpya ya watawala TU basi ndiyo maana Kenya Wana tume huru ya uchaguzi nzuri na mfumo mzuri wa mahakama lakini hata wao hali yao ni ileile TU. Shida yetu kuu ni ukosefu wa mitaji, technology na masoko huru ya kuuzia rasilimali zetu,
Hebu tujadili katika macro levels. Wewe ni Rais unaetaka kuboresha kilimo, uvuvi, ufugaji, uchimbaji, elimu, afya na uchukuzi kwenye nchi Yako, utaanzia wapi?Mkuu mtaji siyo tatizo mimi ni mjasiriamali pia muelimishaji ujasiriamali,
Watu wengi husema wanahitaji mtaji hata wewe unahitaji mtaji je ni kweli hatuwezi kupata mitaji?
Swali fikirishi kwanini watu wengi wanauwezo wa kutatua changamoto za pesa nyingi lakini hawawezi kutafuta pesa kwaajili ya mtaji
Mimi nina andiko langu linahusu, (uncertainty), yaani yasiyotarajiwa kwakifupi binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri uwezo wake wa kufikiri huongezeka anapo pata changamoto narudia mtaji siyo tatizo kinacho hitajika ni kuthubutu
Start where you are do not pretend to be some one else
Vile vile kumbuka wimbo wa Mr Misosi wa nitoke vipi sisi zama hizo tulipata jibu hili, toka kama ulivyo,
Huna pesa unataka vinono huwezi kuvipata
Nitaanza na elimu, jamii ikipata elimu hayo mengine yanakuja kwa tija, lakini kwa Jamii yetu hii ya wapumbavu huwezi kupiga hatua, kumbuka upumbavu ni kipaji wabobezi hawatumii tena weledi kutatua changamoto za wananchi wanajizima data badala yake huwasabishia wananchi changamotoHebu tujadili katika macro levels. Wewe ni Rais unaetaka kuboresha kilimo, uvuvi, ufugaji, uchimbaji, elimu, afya na uchukuzi kwenye nchi Yako, utaanzia wapi?
Aaaaaa waaapiweee!! Bila mtaji, technology na masoko hakuna utakachoambulia. Kama utawapatia watu wako elimu nzuri sana bila kuwapa mitaji, technology na masoko utakuwa unazalisha manamba (cheap labour) kwa mataifa mengine yenye mitaji, technology na masoko imara. Kenya waliwapatia vijana wao elimu nzuri sana, lakini wengi wameishia kuwa cheap labour huko Marekani na Ulaya; wanalipa kodi huko. Wataikimbia nchi yako bila kunufaika na elimu uliyowapa.Nitaanza na elimu, jamii ikipata elimu hayo mengine yanakuja kwa tija, lakini kwa Jamii yetu hii ya wapumbavu huwezi kupiga hatua, kumbuka upumbavu ni kipaji wabobezi hawatumii tena weledi kutatua changamoto za wananchi wanajizima data badala yake huwasabishia wananchi changamoto
Technology siyo elimu?, swali fikirishi unawezaje kusasisha tekinolojia bila kuliandaa Hilo fuvu lako ukaipata tekinolojiaAaaaaa waaapiweee!! Bila mtaji, technology na masoko hakuna utakachoambulia. Kama utawapatia watu wako elimu nzuri sana bila kuwapa mitaji, technology na masoko utakuwa unazalisha manamba (cheap labour) kwa mataifa mengine yenye mitaji, technology na masoko imara. Kenya waliwapatia vijana wao elimu nzuri sana, lakini wengi wameishia kuwa cheap labour huko Marekani na Ulaya; wanalipa kodi huko. Wataikimbia nchi yako bila kunufaika na elimu uliyowapa.
wewe unaongelea elimu ipi?. maana hata kutega ndege na kuchonga mizinga ni elimu kubwa pia. Elimu ya kisasa ni ghali sana, inahitaji a lot of money ambayo hatuna. Utahitaji mitaala bora, walimu bora, wanafunzi bora na mazingira bora ya kujifunzia both theory and practical (skills). Je, unazo ndege ngapi za kujifunzia wanafunzi 100 wanajifunza kutengeneza ndege zikiharika? Je, unao walimu wangapi wanaolipwa bei gani kwa mwezi?Technology siyo elimu?, swali fikirishi unawezaje kusasisha tekinolojia bila kuliandaa Hilo fuvu lako ukaipata tekinolojia
Without back ground knowledge you can not adapt skills, similarly to, your base of argument will depend also upon your background knowledge
Your level of understanding things, (social inference), will depend on how far you have gone with your education or life learning skills
Tuje kwenye hoja yako ya msingi kuhusu mitaji kama huna mpango wa biashara, (business plan), huwezi kufanya biashara shindani pia pesa zako zitaishia kwenye matatizo ya uanzishaji biashara, (startup problems),
Hata hivyo mimi bado nasisitiza kwamba mtaji siyo sababu ya kushindwa kuanzisha biashara, nikulize swali wewe unataka kuanzisha biashara gani na unahitajika mtaji wa kisiasa gani
Kama nchi nataka kuanzisha biashara ya kuchimba madini na kuyauza kwa bei sahihi ya madini, nataka kuuza mbao na magogo yangu kwa bei sahihi, nataka kulima na kuuza mazao ya kilimo kwa bei wanayouza wengine duniani.Technology siyo elimu?, swali fikirishi unawezaje kusasisha tekinolojia bila kuliandaa Hilo fuvu lako ukaipata tekinolojia
Without back ground knowledge you can not adapt skills, similarly to, your base of argument will depend also upon your background knowledge
Your level of understanding things, (social inference), will depend on how far you have gone with your education or life learning skills
Tuje kwenye hoja yako ya msingi kuhusu mitaji kama huna mpango wa biashara, (business plan), huwezi kufanya biashara shindani pia pesa zako zitaishia kwenye matatizo ya uanzishaji biashara, (startup problems),
Hata hivyo mimi bado nasisitiza kwamba mtaji siyo sababu ya kushindwa kuanzisha biashara, nikulize swali wewe unataka kuanzisha biashara gani na unahitajika mtaji wa kisiasa gani
Hayo masoko unayo yatamani unataka kuuza nini change, (mabadilik) yanaanza na wewe siyo kulalamika tu, Ndiyo maana hapo awali nimekwambia mtaji siyo tatizo kinachotakiwa ni uthubutu tu
Wewe umeshindwa kuuliza swali umeniuliza kama raisi nianze na lipi ukaorodhesha mambo mengi ambayo karibu yote yanahitaji elimu nimekwambia elimu pia inategea uwezo wako wa kuelewa , your question is too generalwewe unaongelea elimu ipi?. maana hata kutega ndege na kuchonga mizinga ni elimu kubwa pia. Elimu ya kisasa ni ghali sana, inahitaji a lot of money ambayo hatuna. Utahitaji mitaala bora, walimu bora, wanafunzi bora na mazingira bora ya kujifunzia both theory and practical (skills). Je, unazo ndege ngapi za kujifunzia wanafunzi 100 wanajifunza kutengeneza ndege zikiharika? Je, unao walimu wangapi wanaolipwa bei gani kwa mwezi?
Am wasting my time with your questions,Kama nchi nataka kuanzisha biashara ya kuchimba madini na kuyauza kwa bei sahihi ya madini, nataka kuuza mbao na magogo yangu kwa bei sahihi, nataka kulima na kuuza mazao ya kilimo kwa bei wanayouza wengine duniani.
hiyo ni nadhalia tu umejifunza darasani, sanasana inafanyakazi kwenye micro level of economy, pale unapowaza kuuza juice ya ubuyu au ya miwa pale Sinza madukani. Lakini unaweza kuwa na gold tones nyingi lakini anaeamua ainunue kwa bei gani sio wewe ni lijamaa liko huko west. Na linaweza kukwambia siinunui dhahabu yako kwakuwa nchi yako haina demokrasia na inapinga ushoga.Am wasting my time with your questions,
YOU HAVE TO SALE WHAT YOU KNOW A CUSTOMER IS GOING TO BUY NOT WHAT YOU THINK IS GOING TO BUY
Siko darasani, hiyo darasani ilikuwa 1986-1987, intensive training in entrepreneurship,hiyo ni nadhalia tu umejifunza darasani, sanasana inafanyakazi kwenye micro level of economy, pale unapowaza kuuza juice ya ubuyu au ya miwa pale Sinza madukani. Lakini unaweza kuwa na gold tones nyingi lakini anaeamua ainunue kwa bei gani sio wewe ni lijamaa liko huko west. Na linaweza kukwambia siinunui dhahabu yako kwakuwa nchi yako haina demokrasia na inapinga ushoga.