kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Tunapishana mitazamo kwakuwa wewe unaongelea wajasiliamali; machinga na wauza nguo kutoka Gwanzu, China. Biashara kama hizo haziwezi kuendesha nchi. Nchi inaendeshwa na biashara za kimataifa kule ambako tunapata pesa za kigeni, USD na Euro na Yen. Masoko haya ndio silaha kuu ya wakoloni wakati wanaondoka tukidhani tumepata uhuru. Masoko haya haya hayako huru kwa nchi za Afrika zoooooote, hasa chini ya Jangwa la Sahara. Ndio maana nchi zote hizi zinafanana kiuchumi bila kujali ni chama kipi kinatawala nchi. Masoko haya ndiko inakopatikana mitaji ya uwekezaji na fedha za kununulia na kuendeleza technolojia ya kisasa kabisa.Siko darasani, hiyo darasani ilikuwa 1986-1987, intensive training in entrepreneurship,
Biashara nimenza kufanya 1987-2025,,(to date), na naandika kitabu fikirishi Cha ujasiriamali
Huko darasani tulijifunza kwamba asilimia 80 ya mafanikio katika, (kwenye), biashara, yanamtegemea mjasiriamali Wakati asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka
Mimi nimegundua kwamba asilimia 20 ina nguvu hata kuua biashara endapo jamii itanyamaza, mfano hai wa kunyamaza mlipo hoji kuhusu kiwango kikubwa cha tozo za simu muliambiwa kama hamtaki kulipa nendeni mkaishi..........,
Hili tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekuwa ondoka, hili limebebwa kwenye ngazi zote za maisha yetu hata makanisani huwezi kuhoji, vyuoni, kwenye vyama siasa na kwingineko ambako wewe unakuja, (in short am not closed minded)
Nina dhana inaitwa IPYANA analysis inajadili kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike
Nina dhana ya HARABA imebeba sifa msingi za kumuwezesha mjasiriamali kuenenda katika biashara
Silence surrenders public responsibilities
Masoko haya yamejaa tariffs, ushindani wa ubora, ubaguzi, dhuluma na vikwazo visivyo vya haki.