Trump warns Uhuru against rigging August Elections

Trump warns Uhuru against rigging August Elections

I wish aseme uchaguzi zbr nafuta so ufanyike upya na hakuna Mtanzania kusimamia,,nitaleta watu wangu ambao hawana interest na chama au mgombea yoyote,,hakika HAKI ya democrasia Zbr ingepatikana
 
Njia za kufosi nchi itekeleze demokrasia vile unavyotaka wewe labda kupitia vikwazo vya kiuchumi na hapo ni kamaataifa mengine yatawakacha pia.
Kuingia na kuipiga nchi husika, inawezekana ila kwa ubabe wa kuilazimisha UN aingize majeshi nchi husika, na hapo ni kama hiyo nchi ni mwanachama wa UN.
Hizi ni dalili mbaya ikiwa anaweza kuzama nchini na kuwalazimisha mfanye uchaguzi nini kingine atawalazimisha? Ushoga? Kumkabidhi malighafi zenu?

Naona nchi nyingi zinazotenda udikteta, zikijitoa UN au zikiwauliza N. Korea wamewezaje kuachwa pamoja na yote wanayoyafanya.
 
Just as i was thinking its Leggit news

Naona ni Satirical paper ya
Politica SMH

1484807519243.png
 
Hata mimi nimejiuliza sana kwanini Kenya? Uchaguzi bado vitisho mapema, na kwani kutakuwa na fujo au kukataa matokeo? Mbona ameyasema mapema?

NB:Kenya ni jirani na kwetu hapa kabisa.
Ni satirical paper ...SATIRE ....TRUMP HAS NOT SAID ANY OF THIS .....SMH mitanzania Hata Satire Hamuelewei ....

Nimesare Ku comment hapa
 
Yaani huyu ni dictator mzuri kabisa tofauti na yule UCR, huyu ameamua kutetea na kusimamia matwakwa ya wengi. naona CDM sasa wamepata pa kukimbilia! Hivi kwanini asianze kushughulikia chaguzi za miaka 2 nyuma?
 
Ni satirical paper ...SATIRE ....TRUMP HAS NOT SAID ANY OF THIS .....SMH mitanzania Hata Satire Hamuelewei ....

Nimesare Ku comment hapa

Si issue na TZ. Hata Kenya kuna wengi wanaoamini upuuzi kama huu. Nahisi ni jambo la upungufu fulani katika sekta ya elimu. Watu huwa hawana uwezo wa kujiuliza maswali wanaposoma lolote kwenye mitandao. Mifumo mengi ya elimu hujihusisha na rote memorization badala ya critical thinking. Ni balaa kweli.
 
Yeye naye mbona aliingia kwa kudukua kutumia Urusi mimi naona ni debe tupu tu, Hana jeuri mbele Urusi na China na Madicteta wetu wameelekea mashariki wameshaipa kisogo Marekani siku nyingi.
 
Si issue na TZ. Hata Kenya kuna wengi wanaoamini upuuzi kama huu. Nahisi ni jambo la upungufu fulani katika sekta ya elimu. Watu huwa hawana uwezo wa kujiuliza maswali wanaposoma lolote kwenye mitandao. Mifumo mengi ya elimu hujihusisha na rote memorization badala ya critical thinking. Ni balaa kweli.
I was suprised when I heard people really Thought all those mugabe quotes doing rounss on Social media Some actually thought Mugabe said them smh nlishanga watu hawawezi differentiate kati ya meme satire na real deal!!...
 
Back
Top Bottom