Peter Simba
Senior Member
- Nov 23, 2016
- 191
- 173
Kwenu wapi!!
Haya sio maneno ya Trump.Hata mimi nimejiuliza sana kwanini Kenya? Uchaguzi bado vitisho mapema, na kwani kutakuwa na fujo au kukataa matokeo? Mbona ameyasema mapema?
NB:Kenya ni jirani na kwetu hapa kabisa.
Hahaha!Kigoma ujiji kwa Waha wenzako.
Hahaha!
Kwenu wapi?
Ni satirical paper ...SATIRE ....TRUMP HAS NOT SAID ANY OF THIS .....SMH mitanzania Hata Satire Hamuelewei ....Hata mimi nimejiuliza sana kwanini Kenya? Uchaguzi bado vitisho mapema, na kwani kutakuwa na fujo au kukataa matokeo? Mbona ameyasema mapema?
NB:Kenya ni jirani na kwetu hapa kabisa.
Duh, angeanza na gambia mbona anasubiri mwezi wa nane mbali kote huko
Google ilisha kupunguzia Akili wewe!!!Ni satirical paper ...SATIRE ....TRUMP HAS NOT SAID ANY OF THIS .....SMH mitanzania Hata Satire Hamuelewei ....
Nimesare Ku comment hapa
Ni satirical paper ...SATIRE ....TRUMP HAS NOT SAID ANY OF THIS .....SMH mitanzania Hata Satire Hamuelewei ....
Nimesare Ku comment hapa
I was suprised when I heard people really Thought all those mugabe quotes doing rounss on Social media Some actually thought Mugabe said them smh nlishanga watu hawawezi differentiate kati ya meme satire na real deal!!...Si issue na TZ. Hata Kenya kuna wengi wanaoamini upuuzi kama huu. Nahisi ni jambo la upungufu fulani katika sekta ya elimu. Watu huwa hawana uwezo wa kujiuliza maswali wanaposoma lolote kwenye mitandao. Mifumo mengi ya elimu hujihusisha na rote memorization badala ya critical thinking. Ni balaa kweli.