Trump yupo tayari ku "discredit" Vyombo vyake vya usalama kumtetea Netanyahu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon?

Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko sahihi?

How?
 
Dogo wee jali mambo na maisha yako. Mshukuru mama kwetu kuna Amani na utulivu una kula, kunya, kutomba na kulala bila bugha.

Fanya kazi!

Sauh'waah?
 
1000181250.jpg
 
Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon?

Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko sahihi?

How?
Huyu Trump na Netapaka wakitoka madarakani wanaweza kufunga ndoa wakaishi kama mke na mume bila shaka!.
 
What's so special there because Trump is expressing his views in a free society. You're wondering because you're in a society where harbouring the dissenting views to those considered sacred is a crime.
 
Back
Top Bottom