Dogo wee jali mambo na maisha yako. Mshukuru mama kwetu kuna Amani na utulivu una kula, kunya, kutomba na kulala bila bugha.Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon?
Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko sahihi?
How?
Huyo ni tv personality kama mboni masimba,kiria,salama jabirUnamjua TRUMP ? Hata trump yeye mwenyewe anajibishia baada ya siku kadhaa in short huyu ni msanii aliyepo kwenye wrong Job...
Miaka Minne ya Mwanzo na sio leo alikuwa anaongoza kwa kusema Uongo
View: https://youtu.be/poxvEir-HWA?si=TSvHXwDzR8lMI2ab
Huyu Trump na Netapaka wakitoka madarakani wanaweza kufunga ndoa wakaishi kama mke na mume bila shaka!.Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon?
Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko sahihi?
How?