MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland
Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu
Hapa naiona FIFA ikiingizwa kwenye ngoma ya siasa kuicheza kwa staili ya singeri