trust me, nilipata ushauri humu JF nikathubutu, nikaweza na nitarudia tena....

...akiyanani kubana pumzi wakati wa tendo inasaidia kuchelewa kuona kilele!!!imetokea leo!!
baada ya ushauri nilioupata humu JF
najua tuko wengi tunaoumwa, zamu yako kajaribu na ww
asanteni saaana wana familia ya JF!!
Mkuu, ebu mwaga darasa hapa, wengine hatukuuona huo ushauri. Unabana pumzi vipi ili nasi tukajaribu kama inawezekana maana hivi vitambi vingine.....
 
hapana mkuu...kama unakumbuka niliwahi kuwaletea uzi wa A good mornimg SEX is Healthy...so nilitupia asubuhi, sema sikuweza kuwaletea majibu mapema,..um so sorry such a late report!!

great kama unakumbuka kurudisha taarifa ya mafanikio uliyoyapata
na hapa watu walete tatizo kwako wapate ushauri namna ya kufanya maana ni muhimu sana
Asante sana kwa taarifa
 
Mkuu, ebu mwaga darasa hapa, wengine hatukuuona huo ushauri. Unabana pumzi vipi ili nasi tukajaribu kama inawezekana maana hivi vitambi vingine.....

Kumbe wako wengi wenye tatizo au wanaotaka shule
Mkuu njoo huku uje umwage lecture maana wanaihitaji sana
 
Unaibanaje? Tell me one day i will do experiment
naogopa kuelezea sana humu, wataiondoa..MOVED!!!lol...ila usiheme haaa haaa haaa...ukiwa kwenye motion...i mean up down up down....aaah bana si kama riaza, ukiachia domo unachoka haraka, so funga mdomo, vuta pumzi nyingi ndani...utapanda mpaka juu..km vip ni PM nitamwagiga zaidi
 
Kumbe wako wengi wenye tatizo au wanaotaka shule
Mkuu njoo huku uje umwage lecture maana wanaihitaji sana
bana watafuta haka kaudhi kangu bureeee...watu km vip waniPM nitamwagika mbaaya...true that!!
 
Mkuu, ebu mwaga darasa hapa, wengine hatukuuona huo ushauri. Unabana pumzi vipi ili nasi tukajaribu kama inawezekana maana hivi vitambi vingine.....
mkuu naogopa kubomoka sana hapa...km vp PM inahucka...ndio kwaaanza senior member, nataka niwe xpat xpat xpat senior primiamu member, so naomba tusitiane majaribuni...lol
 
Ahaaa...kumbe ndio hivyo?! Mbona hata basi huwa anabana mpaka amalize, sasa na huko kupampu bila kuvuta pumzi inakuaje? Si unaweza kupaliwa mechi ikahairishwa?
 
hayo ni majibu ya signature yako, kuhusu pumzi nilikuwa naulizia pumzi ya juu au ya chini. yaani huku au huku

Vipi hicho kindu chenona ni cha huyo ulo chinja leo au?.
kwa ww utabana ya chini, kuhusu kindu chenona hiyo kausha!!au?
 
...akiyanani kubana pumzi wakati wa tendo inasaidia kuchelewa kuona kilele!!!imetokea leo!!
baada ya ushauri nilioupata humu JF
najua tuko wengi tunaoumwa, zamu yako kajaribu na ww
asanteni saaana wana familia ya JF!!

Mkuu cio pumzi tu lishe nzuri nayo ina matter sana na body fitness......mwanaume lazima uwe stable & fit. ujue ku maintain afya yako cio kula kula bila mpangilio maalum unakuta unajiua mwenyewe bila kujua. Binafsi nina my dietary formular nayoitumia na kuifwata mpaka sasa inanisaidia sana. nashauri uwe na yako pia !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…