Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Mkuu, ebu mwaga darasa hapa, wengine hatukuuona huo ushauri. Unabana pumzi vipi ili nasi tukajaribu kama inawezekana maana hivi vitambi vingine........akiyanani kubana pumzi wakati wa tendo inasaidia kuchelewa kuona kilele!!!imetokea leo!!
baada ya ushauri nilioupata humu JF
najua tuko wengi tunaoumwa, zamu yako kajaribu na ww
asanteni saaana wana familia ya JF!!