Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu watu wengine
tuna sura za hatia
even when we are innocents
i can see thru yo avatar :der:
CPU aksante sana kwa hii post kusema ukweli kwenyye la simu mh stak kusemea mioyo lakn mengine ni ya kujitakia ninaamini kuwa unapoamua kuwa comitted hayo ya vimeo ni ya kuyaacha so nikikutwa na kosa la aina hii sidhani kama nastahili kusamehewa... Na hata nikisamehewa ni wazi trust haitakaa irudi kirahisi (angalau ndivyo niaminivyo) labda ufanye kazi ya ziada ambayo mie siioni.Ukibahatika kujua kwamba ulimdanganya kwa hilo, anzia hapo hapo kurekebisha mambo.Sijui wanawake wangapi wana ujasiri wa kukiri "Nilim-save mwanaume kwa jina la kike" kwa wapenzi wao? Ni ngumu sana!!!Lakin pamoja na yote, inategemea uliichezea TRUST ya mpenzi wako kwako mara ngapi. If ni several times, sometimes inakuwa ni impossible kuirudisha. If ni mara ya kwanza, unaweza. Kwa mfano niliosemea hapo juu, unaweza kufanya hivi. - Kwanza punguza unnecessary outings. - Jiweke karibu zaidi na mwenza wako muda mrefu uwezavyo - Tumia simu yako bila woga wowote mbele yake, unaweza kumruhusu apokee hata baadhi ya simu zako (sio zote) - Onyesha upendo zaidi kwa vitendo mara dufu kuliko maneno. - Mshirikishe kwenye mambo yako mengi kadri uwezavyo, mfano kutumia email yako, kusoma msg zako, kutumia JF account yako (kama zipo) - Mfanyie mambo ambayo hukuwahi kumfanyia kabla (Ingawa hii inaweza kuleta picha mbaya kwa wengine) - Epuka kufanya mambo ya kuleta picha za usaliti
Nyumba kubwa umenena nlokuwa naliwaza yaani mimi huwa naamini kuwa nikishamfanya mwenzangu anidoubt basi sitaishi kwa amani hata akisema amesamehe... Sasa inapotokea hali ya namna hii huwa nateseka sana na huchukua muda kuipata amani. Naogopa sana kumpoteza mwenzangu.Ni ngumu kujenga trust baada ya kuibomoa. Ila haina maana kuwa uhusiano unakwisha baada ya trust kupotea. Ila uhusiano unakuwa ni ule wa full wasi wasi na kuhisi hisi. Waswahili wanasema unaishi 'kimachale machale'.Mfano mimi mume wangu alishanikosea uaminifu afu wakati mwingine namshangaa ananiuliza "kwa nini uniamini baby?". Wakati anajua kwa nini simuamini. Huwezi kum force mtu kurudisha imani. Na nachelea kusema kuwa watu tunasamehe lakini hatusahau. Meaning ni ngumu kama si impossible kurudisha trust.
nyumba kubwa umenena nlokuwa naliwaza yaani mimi huwa naamini kuwa nikishamfanya mwenzangu anidoubt basi sitaishi kwa amani hata akisema amesamehe... Sasa inapotokea hali ya namna hii huwa nateseka sana na huchukua muda kuipata amani. Naogopa sana kumpoteza mwenzangu.
Aksante Newdawn hili ni somo zuri sana so trust itoke kwa alokosewa baada ya kuchunguza kama alilokosewa limesawazishwa:happy:MJ1 ukweli ni kuwa hakuna kitu kigumu kukijenga kama "TRUST" na hakuna kitu fragile kama "TRUST"....Ni ngumu sana kukirestore....Hata hivyo kwa mtazamo wangu, TRUST nzuri ni ile isiyojengwa kutoke nje (na mtu aliekukosea) bali wewe mwenyewe uliekosewa kujenga tena kum-TRUST Mwenzako.....How, hii inatokana na kule kuelewa kuwa hakuna aliemkamilifu na mwanadamu yeyetoe ameumbiwa hali ya kukosea. Kwa hiyo leo kama kakosea yeye kesho huenda nikakosea mimi.....So unaanza na kusamehe kwa kujua kuna kukosea and then you build your trust back again.......HATARI ZAIDI NI PALE UTAKAPOWEKA MASHARTI MIA NANE NA NUSU KIDOGOSasa hapa kosa ni kwa yule ambae amekukosea lakini bado ukamwamini tena kama atavunja tena uaminifu....sasa haitakuwa tu ni kuvunja uaminifu bali "DONDA NDUGU" la kuvunja uaminifu ambalo ni baya sana kuliko ile ya awali.....MUHIMU if you are trusted again, hakikisha unatunza ile TRUST kwa kuwa it is more fragile than anything ...HOLD IT WITH GREAT CARE
...dah, mwj1 si basi tena..kosa gani hilo lisosameheka? Lol..take it easy mamie xoxo
How can you trust another person? Ndo maana mioyo yenu inauma mkiachwa sababu mnamtumaini mwanadamu mwenzako Kosa kubwa sana usijejaribu huo moyo wako ni wa kumwamini Mungu tu! Sio eti Girlfriend ,wife hub mtakuja pasuja mioyo na hizo trust kwa hawa watu .
...tatizo ni kwamba hata mungu huwezi muamini bila kupitia kwa tafsiri za wanadamu aka wahubiri na waandishi wa vitabu vya dini. Imani ya mapenzi na imani ya kuabudu ni vitu viwili tofauti.How can you trust another person? Ndo maana mioyo yenu inauma mkiachwa sababu mnamtumaini mwanadamu mwenzako Kosa kubwa sana usijejaribu huo moyo wako ni wa kumwamini Mungu tu! Sio eti Girlfriend ,wife hub mtakuja pasuja mioyo na hizo trust kwa hawa watu .
Nyumba kubwa, kuna makosa madogo madogo yanayopaswa kusameheka. Tukiendekeza 'gubu' mapenzi hayatodumu. Hakuna mkamilifu, kukoseana kupo, hata identical mapacha wanakoseana.
Binafsi naamini mtapokosana ndipo mtapojua mapungufu yenu na wapi mjirekebishe. Trust inaingia hapo kwenye marekebisho. Mfano; mwenzio hakukujulisha atachelewa kurudi. Umejaribu kumtafuta kwa simu bila mafanikio.
Hilo si kosa kubwa. Huenda network ya simu ilikuwa mbaya, au simu yake iliishiwa charger, nk.. ni tatizo lililo nje ya uwezo wake. Ni kiasi cha kueleweshana jinsi gani mwaweza epusha hilo lisijirudie. We have to Learn where to 'prevent' mianya ya CRACKS aka NYUFA.
MwanajamiiOne, wanawake tumeumbwa nafikiri tofauti sana, kwanza tuna mapenzi sana na ya ukweli, pili tuna huruma iliyopitiliza, tatu tunasahau mapema sana tunapoumizwa na mtu akaja na msamaha na kubadilika completely,ila mwanaume huwa hasahau kabisa once akijua umemcheat, na sidhani kama ataweza tena kurudisha upendo wa kwanza kabisa kwakoMbu umenena sawa kwa kuongezea nyumba kubwa ni kuwa mnapoanza mapenzi wote huwa mna ile kuaminiana kuwa mwenzako anakupenda na yeye ndie kubwa kuliko wote! Unapopata mpenzi mpya binadamu tunaamini kuwa ni mbora kuliko a/walotangulia.............so trust inajijenga outomatically.......But anapokukosea kwa kosa ambalo pengine ulikwishawahitendewa zamani au hata kama ni kosa jipya (Lakini linaumiza) unaanza kuidoubt ile imani yako ya kuwa "huyu ni tofauti na wa/yule" hapo tunasema trust ime'shake' au kupotea.
Ili kuijenga upya inakubidi kwanza uane na kusamehe....kwa kuamini kuwa kosa lililofanyka ilikuwa bahati mbaya, au kulikuwa kuna explanation nyingine nje ya uwezo wa mkosaji. Ukisha samehe then kwa kuangalia mwenendo (marudio ya kosa hilo) kwa mwenzako unaanza kuijenga tena ile trust kuwa mwenzangu amebadilika so now nawezamtrust tena.
Ninajiuliza ......how do you rebuild the trust which has been destroyed because of "cheating" and je wanawake wanaokuta mume amecheat wakasamehe, do they trust them ever again? if not how do they live in a 'non-trust' marriage life?
Wanaume: Why its hard for you to forgive mwanamke aliyecheat (kabla ya kuuliza trust)?