Trust.........................

Halafu watu wengine
tuna sura za hatia
even when we are innocents
 
Mbu umenisoma ipasavyo. Ah bwana naumia pale ninapomkosea mtu ninayempenda yaani misamaha nitakayoomba mpaka wakati mwingine nahisi ntazidi kumboa kwa 'am sorry' zangu

Halafu hata akinambia yamekwisha yaani nakuwaga mnyonge nahisi kama ndo nshalitia doa hilo penzi na sijui kama litawezarudi kama zamani. Yaani kifupi ni kuwa naumiaga mimi kuliko huyo nlomkosea.

Nakuwaga na uwoga wa kumpoteza.

Mimi binafsi najiamini kuwa nina udhaifu wa kusamehe na kusahau upesi sana.
 
Ni ngumu kujenga trust baada ya kuibomoa. Ila haina maana kuwa uhusiano unakwisha baada ya trust kupotea. Ila uhusiano unakuwa ni ule wa full wasi wasi na kuhisi hisi. Waswahili wanasema unaishi 'kimachale machale'.

Mfano mimi mume wangu alishanikosea uaminifu afu wakati mwingine namshangaa ananiuliza "kwa nini uniamini baby?". Wakati anajua kwa nini simuamini. Huwezi kum force mtu kurudisha imani. Na nachelea kusema kuwa watu tunasamehe lakini hatusahau. Meaning ni ngumu kama si impossible kurudisha trust.
 
Reactions: EMT
CPU aksante sana kwa hii post kusema ukweli kwenyye la simu mh stak kusemea mioyo lakn mengine ni ya kujitakia ninaamini kuwa unapoamua kuwa comitted hayo ya vimeo ni ya kuyaacha so nikikutwa na kosa la aina hii sidhani kama nastahili kusamehewa... Na hata nikisamehewa ni wazi trust haitakaa irudi kirahisi (angalau ndivyo niaminivyo) labda ufanye kazi ya ziada ambayo mie siioni.
 
Nyumba kubwa umenena nlokuwa naliwaza yaani mimi huwa naamini kuwa nikishamfanya mwenzangu anidoubt basi sitaishi kwa amani hata akisema amesamehe... Sasa inapotokea hali ya namna hii huwa nateseka sana na huchukua muda kuipata amani. Naogopa sana kumpoteza mwenzangu.
 

unajua tatizo sio what a woman says..
Uzoefu unaonyesha tatizo ni what womens do when no body is watching....
Ohh and men also.....
 
Aksante Newdawn hili ni somo zuri sana so trust itoke kwa alokosewa baada ya kuchunguza kama alilokosewa limesawazishwa
 
Kurudisha trust sio kitu rahisi, inabidi sometimes uvue hadi utu wako kwa ajili ya kujenga trust mpya...ila ukijipanga vizuri, ukajua kosa lako. ukajua kujishusha kwa mpenzi wako.ukamwonyesha kwamba unasikitika sana umemwangusha, mambo yanaweza rudi sawia, ila ndio inakuwa mahusiano ya ukigongwa na nyoka hata myasi zikikugusa unastuka tu
 
...dah, mwj1 si basi tena..kosa gani hilo lisosameheka? Lol..take it easy mamie xoxo
 
...dah, mwj1 si basi tena..kosa gani hilo lisosameheka? Lol..take it easy mamie xoxo

.....................Loh umegundua nlivyo mwoga eh? Ah bwana nashukuru bana uzuri ni kuwa mkosewa mwenyewe yuko simple yaani mie nataabika hapa ye ashasahau kama nilimkosea ah!! makosa mengine ni madogo lakini impact yake ni kubwa ..............but nimejifunza
 
Reactions: Mbu
Naona hapa kuna vitu viwili watu tunavichanganya, kusamehe na kuamini. "Forgiveness is one thing trust is another". Kusema hakuna kosa lisilosamehewa ni kutoka nje ya mada. Nimekusamehe lakini sitosahau. Kutokusahau kuna uhusiano na trust.

Trust ni kitu ambacho kipo nje ya uwezo wa wote; mkosaji na mkosewa. Ni suala la kisaikolojia zaidi. Naweza nikakwambia kwa mdomo kuwa nakuamini, but deep inside I can't controll my true feelings, japo ni siri yangu.
 
Nyumba kubwa, kuna makosa madogo madogo yanayopaswa kusameheka. Tukiendekeza 'gubu' mapenzi hayatodumu. Hakuna mkamilifu, kukoseana kupo, hata identical mapacha wanakoseana.

Binafsi naamini mtapokosana ndipo mtapojua mapungufu yenu na wapi mjirekebishe. Trust inaingia hapo kwenye marekebisho. Mfano; mwenzio hakukujulisha atachelewa kurudi. Umejaribu kumtafuta kwa simu bila mafanikio.

Hilo si kosa kubwa. Huenda network ya simu ilikuwa mbaya, au simu yake iliishiwa charger, nk.. ni tatizo lililo nje ya uwezo wake. Ni kiasi cha kueleweshana jinsi gani mwaweza epusha hilo lisijirudie. We have to Learn where to 'prevent' mianya ya CRACKS aka NYUFA.
 
How can you trust another person? Ndo maana mioyo yenu inauma mkiachwa sababu mnamtumaini mwanadamu mwenzako Kosa kubwa sana usijejaribu huo moyo wako ni wa kumwamini Mungu tu! Sio eti Girlfriend ,wife hub mtakuja pasuja mioyo na hizo trust kwa hawa watu .
 

We nae bwana........... kwani wadhani hatulijui hili? Ya MUNGU twampa MUNGU na ya Kaisari twampa Kaisari..kumwamini MUNGU ni tofauti na kumwamini/ trus mtu tunakokuzungumzia............... unawezaje mpenda mtu pasipo kumtrust? Trust ya kuwa naye anakupenda, atakuprotect na maumivu ya mapenzi, atakuheshimu pasipo kukufanyia mambo yatakayokuumiza.

TRUST ya MUNGU hapa ni juu ya yote.....................
 
...tatizo ni kwamba hata mungu huwezi muamini bila kupitia kwa tafsiri za wanadamu aka wahubiri na waandishi wa vitabu vya dini. Imani ya mapenzi na imani ya kuabudu ni vitu viwili tofauti.
 

Mbu umenena sawa kwa kuongezea nyumba kubwa ni kuwa mnapoanza mapenzi wote huwa mna ile kuaminiana kuwa mwenzako anakupenda na yeye ndie kubwa kuliko wote! Unapopata mpenzi mpya binadamu tunaamini kuwa ni mbora kuliko a/walotangulia.............so trust inajijenga outomatically.......But anapokukosea kwa kosa ambalo pengine ulikwishawahitendewa zamani au hata kama ni kosa jipya (Lakini linaumiza) unaanza kuidoubt ile imani yako ya kuwa "huyu ni tofauti na wa/yule" hapo tunasema trust ime'shake' au kupotea.

Ili kuijenga upya inakubidi kwanza uane na kusamehe....kwa kuamini kuwa kosa lililofanyka ilikuwa bahati mbaya, au kulikuwa kuna explanation nyingine nje ya uwezo wa mkosaji. Ukisha samehe then kwa kuangalia mwenendo (marudio ya kosa hilo) kwa mwenzako unaanza kuijenga tena ile trust kuwa mwenzangu amebadilika so now nawezamtrust tena.

Ninajiuliza ......how do you rebuild the trust which has been destroyed because of "cheating" and je wanawake wanaokuta mume amecheat wakasamehe, do they trust them ever again? if not how do they live in a 'non-trust' marriage life?

Wanaume: Why its hard for you to forgive mwanamke aliyecheat (kabla ya kuuliza trust)?
 
Mbu hamna mtu anayekosa trust kwa mpenzi wake kwa makosa madogo madogo. Kwa experience yangu chanzo kikubwa cha kuondoa trust ni cheating ambayo si ya kuhisi ila yenye evidence. Sasa kama ulishacheat afu nikakupigia simu umezima sijuhi imeishiwa charger, well naweza nikaonyesha kukubali maelezo utakayonipa lakini deep inside naanza ku relate na cheating incidence. That is out of my control. I can forgive yes but forgetting is difficult no matter how hard I try.

Sijawahi kukosa trust kwa mtu kwa sababu nyingine yoyote (ndogo ndogo) zaidi ya uzinzi.
 
MwanajamiiOne, wanawake tumeumbwa nafikiri tofauti sana, kwanza tuna mapenzi sana na ya ukweli, pili tuna huruma iliyopitiliza, tatu tunasahau mapema sana tunapoumizwa na mtu akaja na msamaha na kubadilika completely,ila mwanaume huwa hasahau kabisa once akijua umemcheat, na sidhani kama ataweza tena kurudisha upendo wa kwanza kabisa kwako

Trust ni kitu kizuri sana kwenye mahusiano, hasa ikiwa pande zote mbili,lakini huwa haiendi hivo utakuta mmoja anavunja trust na kujificha kwenye kivuli cha ile trust aliyopewa na mwenzake at first, ni rahisi kutrust tena in certain condition ila pia ni ngumu sana kutrust mtu tena akikuvunja imani yako....ni wewe mwenyewe utakavochukulia uzito wa kosa na kusamehe kabisa,au kushindwa kusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…