Truth be told, when it Comes to Relations, Women have a Raw Deal...;

Truth be told, when it Comes to Relations, Women have a Raw Deal...;

Mbona wewe unawekaga topic profile zinazojibu ni hizo hizo ambazo ukiangalia michango yao mingine ni watu wana mushkeli kny mahusiano yao na wanawake..?
Naongea maisha ya mtaani yanayowakabili vijana kwaiyo lazima kuna ambao wataguswa nankutoa ushuhuda.

Sema kuna kitu huwa mnakosea, mnafikiri mtu yoyote anae-expose reckless life mnaiyoishi mabinti na wanawake wa kisasa basi mtu uyo ana trauma za mahusiano yake yaliyopita.

Kuna uchafu mwingi sana mnafanya wanawake wa kisasa mkifikiri ndio uhuru, 50/50 au kumkomoa mwanaume. Haya mnayoyafanya uko kwenye kumbi za starehe, chuo, ndoani, mtaani, telegram, tikitok n.k sio siri, tunayaona.
 
You are just a single person in the whole universe, why should your judgment matter?? If you don't agree with their stupidity they will find someone who will....mistake is to think every other person should think like you are...while clearly you have got your own genetic/personality/experiences zinazokufanya utoe harsh judgment yako...unashangaa wanaume wenzio km wenyewe wanavyokushangaa....
This is very horrific mind set, in other words you support reckless life of young girls because when they are done with that hoe and partying phase in their life, there are simps out there will accept their past.

May be you are advacating yourself and your past, but have you thought even your daughter(kama unae au utakua nae) she is also a woman. Will you be happy if your daughter endup being single mother or damaged woman?
 
Naongea maisha ya mtaani yanayowakabili vijana kwaiyo lazima kuna ambao wataguswa nankutoa ushuhuda.

Sema kuna kitu huwa mnakosea, mnafikiri mtu yoyote anae-expose reckless life mnaiyoishi mabinti na wanawake wa kisasa basi mtu uyo ana trauma za mahusiano yake yaliyopita.

Kuna uchafu mwingi sana mnafanya wanawake wa kisasa mkifikiri ndio uhuru, 50/50 au kumkomoa mwanaume. Haya mnayoyafanya uko kwenye kumbi za starehe, chuo, ndoani, mtaani, telegram, tikitok n.k sio siri, tunayaona.
Naona umekubali wanaochangiaga mada zako ni watu wenye matatizo sana na wanawake....hujapinga.

Labda tunakosea kufanya assumptions ila ni hali ya kibinadamu ku conclude mtu fulani ana maumivu kama mada anazoleta ni hizo hizo za maumivu kila siku....mtu anakuwa consistent kwenye mada zake, kila siku ni negative tu kuhusu wanawake ni lazima watu wajiulize kama huyo mtu ana mahusiano na mwanamke?? Huyo mwanamke wake ni modern woman?!..haoni jema kwa huyo mwanamke la kutangaza,,,is this person happy??..Will he ever be happy...?? Jiulize kwa nini ni wewe unayaona hayo ya modern woman na kuyareport?? Una selection bias?? Kwa nini ubaya wa wanawake ndio umepick interest nayo na kama kuna connection with your private.. personal life lako...haya mengine ujijibu mwenyewe
 
Naona umekubali wanaochangiaga mada zako ni watu wenye matatizo sana na wanawake....hujapinga.
Sio wote wana trauma. Tunaishi na marafiki, ndugu, jamaa na majirani kwaiyo yapo mengi tunayaona kwenye jamii mfano mimi nimeoa(kitamaduni sio ndoa ya kanisani) so far sijawahi kuona kiashiria chochote cha mke wangu kunicheat lakini hii haiwezi kunifanya kufikiri kwamba hakuna mwanamke anaecheat kwa sababu najua yanayoendelea kwenye jamii
Labda tunakosea kufanya assumptions ila ni hali ya kibinadamu ku conclude mtu fulani ana maumivu kama mada anazoleta ni hizo hizo za maumivu kila siku....mtu anakuwa consistent kwenye mada zake, kila siku ni negative tu kuhusu wanawake ni lazima watu wajiulize kama huyo mtu ana mahusiano na mwanamke?? Huyo mwanamke wake ni modern woman?!..haoni jema kwa huyo mwanamke la kutangaza,,,is this person happy??..Will he ever be happy...?? Jiulize kwa nini ni wewe unayaona hayo ya modern woman na kuyareport?? Una selection bias?? Kwa nini ubaya wa wanawake ndio umepick interest nayo na kama kuna connection with your private.. personal life lako...haya mengine ujijibu mwenyewe
Nimechagua kusemea kundi la wanaume wenzangu kwa sababu naona jinsi mifumo ya kijamii na kiutawala ilivyomtelekeza mwanaume. Mwanamke analindwa na sheria, mamlaka, NGO, media, jamii n.k lakini mwanaume hana ulinzi wa yoyote.

Mambo ninayowafundisha vijana ni kujipa kipaumbele wao wenyewe kwa sababu wakipoteza uelekeo wa maisha hakuna wa kumuhurumia au kumtetea mwanaume hapa duniani. Pia nawapa mbinu za ku-unlock cheatings codes na manipulations za wanawake. Hayo sio malalamiko, malalamiko ni ya wale masimp wanaokujaga hapa kulialia baada ya kufanywa wajinga na wanawake.

Kuhusu mahusiano yangu yapo imara kabisa, nimeoa binti wa kiraqwi bado mbichi kabisa kutoka kwao karatu na nimemkuta akiwa bikira kwa sasa ana mimba ya miezi 8 mwakani january anajifungua kwaiyo karibu nyumbani umuone mtoto
 
This is very horrific mind set, in other words you support reckless life of young girls because when they are done with that hoe and partying phase in their life, there are simps out there will accept their past.

May be you are advacating yourself and your past, but have you thought even your daughter(kama unae au utakua nae) she is also a woman. Will you be happy if your daughter endup being single mother or damaged woman?
Mwanangu akiwa single mother or damaged woman as you put it,...nitamchukulia kama mwanangu still huyo ni wa kwangu,hayo ni matokeo tu ya ku experiment...I believe in giving people a second chance au unataka single mothers wote wauawe? I'm not judgmental as you are...

Kama utaona ni ku support reckless lifestyle sawa ila hujakubaliana na reality...na reality ni hii;,hata useme wanaume wote wanaooa wanawake sio bikira ni masimp au uwashikie bunduki wanaume na wanawake waoane mabikira still bikira zitatolewa kabla ya ndoa...na watu wataoa wanawake sio bikira, huu ndio ukweli mchungu unaojaribu kuukataa kutokana na misimamo yako mwenyewe ambayo iko specific kutokana na personality/genetic/experiences zako..(hivyo sioni kwa nini tukusikilize wewe na tusizing"oe hizo bikira).....ni hivi; huyo huyo aliyeumba bikira ndie huyo huyo aliyeumba hormones na sometimes zinakuwa kwenye peak...hivyo watu ku sex ni kawaida, (nature), ( ndio maana bikira nyingi zinatolewa in teenage years), sasa wewe toa dawa za testosterone na sijui nini watu wasi experiment/sex ili wabaki mabikira
 
Sio wote wana trauma. Tunaishi na marafiki, ndugu, jamaa na majirani kwaiyo yapo mengi tunayaona kwenye jamii mfano mimi nimeoa(kitamaduni sio ndoa ya kanisani) so far sijawahi kuona kiashiria chochote cha mke wangu kunicheat lakini hii haiwezi kunifanya kufikiri kwamba hakuna mwanamke anaecheat kwa sababu najua yanayoendelea kwenye jamii

Nimechagua kusemea kundi la wanaume wenzangu kwa sababu naona jinsi mifumo ya kijamii na kiutawala ilivyomtelekeza mwanaume. Mwanamke analindwa na sheria, mamlaka, NGO, media, jamii n.k lakini mwanaume hana ulinzi wa yoyote.

Mambo ninayowafundisha vijana ni kujipa kipaumbele wao wenyewe kwa sababu wakipoteza uelekeo wa maisha hakuna wa kumuhurumia au kumtetea mwanaume hapa duniani. Pia nawapa mbinu za ku-unlock cheatings codes na manipulations za wanawake. Hayo sio malalamiko, malalamiko ni ya wale masimp wanaokujaga hapa kulialia baada ya kufanywa wajinga na wanawake.

Kuhusu mahusiano yangu yapo imara kabisa, nimeoa binti wa kiraqwi bado mbichi kabisa kutoka kwao karatu na nimemkuta akiwa bikira kwa sasa ana mimba ya miezi 8 mwakani january anajifungua kwaiyo karibu nyumbani umuone mtoto
Hapa watu wanasemaga lolote,you can paint any picture, ninaweza kusema nina miguu mitatu how can you prove it wrong? Unaweza kusema mahusiano yako yako imara sababu ndicho unachotaka kuki portray...uhalisia unaujua mwenyewe. ..ila kwa wanasaikolojia CONSISTENCY haidanganyi,nikisema kila siku humu kila mada nina miguu mitatu chances zipo kubwa nina miguu mitatu KWELI, this is to say wewe kuona ubaya wa wanawake tu kila siku I doubt kama hakuna connection na personal life lako na huyo mwanamke unamuona mbaya pia/mahusiano hayko imara...anyway hayo ni maisha yako7...

Kuhusu wachangiaji wa mada zako no comment, labda ufanye mwenyewe further analysis km hawana trauma..

Again Kuhusu wewe kuwa msemaji hayo ni maisha yako, nilitaka ujifanyie tathmini kwa nini wewe ndio uwe observer wa ku decode ubaya wa wanawake naona imekuwa ngumu kujifanyia tathmini..sijui.ni denial au unajifanyia sema in private...yote kheri
 
Logikos utagundua kwamba ujinga kweli ni dhambi.

Mada ipo wazi kwamba ukipima kwa mizani mzigo mkubwa wa majanga katika mahusiano umeielemea jinsia ke kuliko jinsia me.

Mi naunga mkono mada, mfano wangu upo katika nguvu za mwili. Wakijifungia watu wawili chumbani kwao na wakapishana kauli aliye wa kiume kati yao yupo salama zaidi katika ugomvi huo wa ghafla kuliko wa kike. Kwa hiyo hata kiwango cha wasiwasi kwa maisha yake ni jambo zaidi kwa wa kike kuliko wa kiume

Women have the raw deal, wameshika makali kwa kiasi kikubwa.
Couldn't have put it better myself....
 
Kwaiyo kama dada angu malaya ndio niutetee umalaya au niufumbie macho kwa sababu ni tabia ya dada angu. Wewe jamaa unajiona smart lakini ni mpumbavu kinoma
Kwahio wote ambao sio virgins kabla hawajaolewa ni malaya ? Haijalishi kama walibakwa au virginity imetoka by other physical means... Wewe utawapima na kuwa brand prositutes ? Unajua hata maana ya Umalaya..., And this is neither her nor there..., Uzi unajieleza na kwa kuleta comments zako unazidi ku vindicate Uzi....
hakuna mtu anaetafuta validation ya mwingine hapa, ila ukiandika utumbo utajulikana tu kwa kusoma comments za wachangiaji.
Tena bora utumbo ni kitu cha maana katika mwili au ni chakula kinaweza kulika wewe comments unazoleta yaani hata hazifai katika sehemu husika..., yaani ni kama kilichomo ndani ya utumbo na sio utumbo wenyewe... na kwa Ku Prove that Point Taelezea kwenye Hii Post yako Moja kama Ifuatavyo....
Nasisitiza single mother, damaged women and all other women with reckless past are fools and idiot and they deserve whatever shit comes with that
Unajua maana ya Single Mother..., Unajua hata mwanamke ambaye amekimbiwa, amefiwa, alibakwa akaamua kutunza mtoto kuliko kumtupa wote ni Single Mother ? Kwahio kwa akili yako they deserve kufiwa, kukimbiwa na hata kubakwa ? What is the alternative wakiachika wanywe sumu na kuua offsprings zao ili waendane na mtizamo wako finyu wa maisha ambao unadhani maisha ni black or white ?

Unajua maana ya damaged ? (Na ukishajua hilo lazima kulikuwa na causative stimulus iliyopelekea hayo kutokea.., sasa je tunapomuhukumu huku aliyekuwa damaged je aliyesababisha ? Kumbuka hapa hakuna mtu aliyekufunga kamba utoke na huyu au yule..., ila kuanza kushambulia waliofanya hivyo ni dalili za kukosa ustaarabu...
Women are gatekeeper of sex and fertilty, meaning no sex happens withhout woman's consent.
Have you ever heard of rape ? au kudanganywa na kwahio tumuhukumu mtu mature kwa so called makosa aliyofanya akiwa katika foolish age (kumbuka it is called foolish for a reason)....; Hapa sikupangii wewe cha kufanya kwa mtizamo wako ni haki yako both morally and legally kuchagua unachotaka ila sio kuleta sweeping statements without any hint of sense....
The only way a woman will know if a man is serious is ny marry her or pay her brideprice, any woman gives a man access to her body wothout that happened is an idiot.
Kwa mtizamo wako...., ila hii point ni utumbo sababu unaongelea vitu ambavyo wala sio valid.., hapo juu kuna post nimekwambia mambo ya kutoa mahari inategemea kuna jamii mwanamke ndio anatoa mahari na unavyoongelea kwamba ndoa ni be it end all ni kama vile unasahau kuna kuachika na talaka kwahio by your definition mtu akifiwa au kuachika aishi katika celibacy ?

Au unataka turudi zama za kale ambapo watu walikuwa wanachumbia mtoto anapozaliwa ? Hivi unajua kuna kipindi mwanamke kijijini alikuwa akijiona mjanja watu wanaweza wakamteka na kufanya asilale kwao na kwa tamaduni zao kipindi kile ile ilikuwa tayari kama ndoa yaani lazima aende kwa hao wabakaji ? (Nadhani hao watu na their draconian thoughts walikuwa hawana tofauti na wewe)...
Wanaume kama wewe ndio mnasababisha wanawake wanatudharau wakijua hata wakitufanyia cheating na manipulations wakishtukiwa watatuchezea akili tu kwa kujifanya victims.
Utumbo mwingine...., Unaangalia haya mambo kama ni vita wao na sisi (wakati hii ni a very complicated partnerships ambayo variables differs a lot) kwahio what matters ni compatibility wewe unayeendana nae na kwa mitizamo yenu.., By the way yaani hauna imani na partner wako kwamba ataweza kubadilika sababu kuna watu wana mitizamo tofauti ?
Wewe ni mmoja wa wanaume wapumbavu mnaosababisha mabinti wadogo waone kutombwa tombwa, kufanya umalaya na vitendo visivyokua na maadili ni kawaida kwa sababu jamii haitawahukumu na badala yake lawama zitarushwa kwa wanaume

Ungekua karibu ningekucharaza bakora, pumbavu kabisa wewe
In short hii comment was unnecessarily zaidi ya kuchafua hali ya hewa..., By the way hizi Draconian way of thinking they are so yesteryear ndio maana kuna matukio ya watu kuuwana na kufanyiana vitendo vya kikatili..., nadhani wewe ungefurahia enzi za genital mutilations ukiamini kwamba mabinti kuwapunguza hamu ya tendo ili waendelee kuwa kipozeo cha mme wao.... (Again making the deal even harsher)
 
Sijatusi mtu na kusema "mtumba" maana yake ni kitu au mtu alitumika, wanawake wanaojielewa na kujitunza wapo kwenye familia zenye maadili na kamwe mwanamke anaejitambua hawezi kukubali kufanya mapenzi kabla hajaolewa / kufanya mapenzi na mtu asie mme wake
Kaanzishe mada yako ya bikira utajibiwa huko,mada hii iko nje ya uwezo wako,ulivyo mjinga mjinga unaona kufoka foka ndio njia ya kuonekana una point
 
Una assume kama wanawake wote ni magold diggers vile...mtoa mada hawezi kumpata gold digger ni nyie mlio over cautious ndio mtapigwq matukio...unakaa kijanja kuogopa kuibiwa unasababisha frictions kwenye mahusiano mwanamke anaamua kukaa kijanja zaidi...mwisho wake akiwa smart zaidi yako ni kuumia....huwaga ninasemaga kama nature imeamua kutufavour wanawake ni unless nature iamue vinginevyo...hizi harakati zenu you will get nowhere!
Kwanza dunia ya leo au tuongelee Tanzania ya leo ambapo majority ni wachuuzi yaani Baba Bodaboda / mlinzi usiku mama ni Mama Lishe (ingawa hata kina mama ni walinzi) huwezi tena ukasema kipato / kuleta mkate kila siku ni kama zamani (ambapo mwanamke alikatazwa au kulikuwa hakuna ulazima wa yeye kufanya kazi) na pia hata hakuweza kumiliki mali kama viwanja n.k....;

Vilevile katika kazi za leo za huku chini huenda mwanamke akaweza kuleta pesa ndani zaidi hata ya mwanaume, vilevile hata zamani kazi ya kulea sio ndogo kwahio ni kwamba mligawana majukumu..., Sasa siku ukiamua kumlima takala alafu useme aondoke kama alivyokuja (bila kuondoka na nguvu zake) nadhani itakuwa sio haki kwake....

Kwahio wengi wanaoona hii kitu sio Haki ni kwamba wanatumia Scenarios za miaka iliyopita (formula) wakati mazingira yamebadilika (leo hii mwana mama akisema akae ndani aletewe ataitwa golikipa) na kama anatafuta pia basi siku mkiachana mlivyopata ni vyenu na sio vya mmojawapo....
 
Tena anawekaga vitu wale wanaume broken hearted wanakuja kumsifu, wanaume wengine sijui wana abandonment issues kutoka kwa mama zao,the level of hatred kwa wanawake is unspeakable...ngoja nichongee vizuri 🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅🙃🙃🙃🙃😆😊😊😊😊
Unajua kwenye huu uwanja wa multiple IDs huenda sio wengi kama unavyodhani ila hata kama ni mmoja au wawili hio mbegu sio nzuri sababu kama ukiipanda kwa watoto wako ndio kuleta kizazi cha wapiga wanawake na watu wasioheshimu wanawake au kuwaona ni kama nyenzo..., Nikichukua maneno ya 2Pac... (Na yanakuwa na uzito coming from a guy who used to live a Thug life)

I wonder why we take from our women
Why we rape our women, do we hate our women?
I think it's time to kill for our women
Time to heal our women, be real to our women

And if we don't, we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies

And since a man can't make one
He has no right to tell a woman when and where to create one​
 
Back
Top Bottom