Truth Or Dare:The Game...Play It...

Acha fix...umeolewa na nani?

Shauri yako....jifungie riziki tu...nilikuwa na mpango wa kuja PM mwezi wa kumi na moja.
 

Ulishawahi kumtumia PM Kasinde/Kasie?
Nini kilikusukuma kumtumia PM?
Uko kwenye group la Whatsapp na memba wengine wa JF?
Mnajadili nini huko?

Una ID nyingine zaidi ya hii ya Darmian?
 
Ulishawahi kumtumia PM Kasinde/Kasie?
Nini kilikusukuma kumtumia PM?
Uko kwenye group la Whatsapp na memba wengine wa JF?
Mnajadili nini huko?

Una ID nyingine zaidi ya hii ya Darmian?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli hii truth and dare

Nishawahi kumtumia Pm ndio bibie wa kuitwa Kasie..Nilipenda tu swaga zake

Sipo kwenye group la whatsapp lenye link na JF

Sina ID nyingine tofauti na hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…