Truvada hazipo hospital za rufaa

mumewanguu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
261
Reaction score
259
Wataalam wa afya mliopo humu kumetokea kuadimika kwa dawa za truvada CTC je hili swala ni la taifa zima? Na je dawa hizi zaweza patikana madukani japo watu wanunue kwa pesa? Na je ni ipi dawa mbadala Kama hii haipo ,toa ushauri tuwe serious Kuna watu afya zao zipo hatarin hasa watu wa hepts b
 
Mkuu hizi dawa haziuzwi kwenye maduka ya dawa, zinatolewa bure na Serikali na zinatolewa kwa wagonjwa kwa prescription(kwa maelezo ya Daktari).

Suala la uhaba lipo na litaendelea kuwepo(nadhani unaijua serikali yetu na vipaumbele vyake awamu hii).

Dawa mbadala haitolewi ovyo ovyo kwa kujisikia tu bali ni kulingana na hali ya mgonjwa aliyo nayo kama maudhi(side effects) au kuimarika kwa hali (yaani kutoka Unstable kuwa Stable ).

Huo mbadala Daktari anaufanya.

-Kwa maelezo zaidi ya tatizo lako tembelea kituo cha Afya unapopatia hiyo huduma siku zote.
 
Shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…