mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Wataalam wa afya mliopo humu kumetokea kuadimika kwa dawa za truvada CTC je hili swala ni la taifa zima? Na je dawa hizi zaweza patikana madukani japo watu wanunue kwa pesa? Na je ni ipi dawa mbadala Kama hii haipo ,toa ushauri tuwe serious Kuna watu afya zao zipo hatarin hasa watu wa hepts b