Try Again achia ngazi

Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
 
Hukumuona Mayele kwenye Kambi ya Simba Cairo?

Unataka nini tena?
 
Mangungu na kaka yake try again tunawakubali sana sisi Makolo.
 
Umeandika kwa uchungu sana baada ya Mwakarobo junior kutolewa CAFCL .

Pole sana 🐸🐸watazoea tu baada ya kupata uzoefu kama walionao Simba, 🐸🐸waendelee tu kujitafuta Ila waache makelele kwenye CAFCL huko sio NBCPL.
Simba ana uzoefu upi kwenye ligi ya mabingwa?
 
Sahihi
 
Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.

Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili

1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji

Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.

Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…