"Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

Alimwambia mechi ya Simba na Al ahyl Simba ilicheza vizuri kuliko mechi ya fainali ya Mamelody na Wydad. Wapi amezungumzia Simba ni Bora kuliko Mamelody, halafu mkiambiwa wenye akili ni wawili mnalalamika.
unaweza kuwa timu bora bila kucheza vizuri?
 
Tatizo siyo yeye try again kuambiwa , kuambiwa na infantino sio kosa kabisa maana huwezi mzuia kusema. Tatizo ni kuyabeba maneno yale nankuyaleta kwa mashabiki wa simba, hili ni tatizo kubwa linaonesha uwezo wa viongozi hawa tulionao
Try again alimwambia Infantino kuwa wameshamfukuza Robertihno? Try yuko tayari sasa kumrejesha Robertihno baada ya maneno yale ya Infantino?
 
Hii mbona iko wazi!! Fainali hasa fainali ya pili iliyopigwa huko south iliboa sana!!
 
mtu anaitwa try again bado anaaminika tu
 
Hawa ndio viongozi wetu eti ambao tumewapa nafasi muhimu kwenye timu,! Hili ni jambo kweli lakuja kuwaambia wana Simba, au anafikiri watu wote ni mataahira, ile mbungi iliokua inapigwa juzi ni balaa kuanzia quality, speed, technical ability and energy ya hali ya juu sana.kuongea vile mbele ya mashabiki na wadau wa Simba ni kutuvunjia heshima. Hata kama aliambiwa (brainwashed)
 
Kumpata Infantino atuthibitishie kama kweli alimwambia Jaribu Tena hayo maneno ndo Mtiti.
 
Hii inaonyesha kuwa Robertihno amefukuzwa shingo upande kwa shinikizo la mashabiki. Kama Infantino kaona boli lilitembea kwenye mechi ya ufunguzi kuliko mechi ya fainali na Try again akayaamini maneno ya Infantino hadi kuja kujasema mbele ya kamera maana yake anajuta sana ama kumfukuza robertihno au yeye kutaka kufukuzwa kutoka simba. Inawezekana anamsingizia Infantino kusema maneno hayo na hata kama amesema hakutarajia kuwa Try Again atayasema hadharani kama alivyofanya, hana siri friji lake haligandishi. Mnamtengenezea uhasama kati yake na Mamelods na Wydad kwa kuziponda timu zao.
 
Ngoja tuone...
Kama Infantino akiyasikia haya huenda atakasirika sana. Maneno haya ya Try Againkuhusu ubovu wa mechi ya finali tayari yako mikononi mwa wanafinali wa AFL. Akiambiwa athibitishe alichoambiwa na Infantino ataweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…