Try Again anajiuzulu vipi ajatoa majibu? Shida ya team?? Mo makazi Dubai?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Mashabiki wa simba mbona siwaelewi

1. Mtu anajiuzulu vipi ajatoa progress ya team akitoka? How will things run?

2. Shida ya simba nini?? majibu?

3. Wakati huu wa usajili na mipango ya mwakani?? nani atatoa orientation?? au mna za upya??

4. MO makazi yake ni dubai?? vipi?? chairman via zoom and Skype au??

5. MBONA SIMPLE hivyo, kaacha progress report???!

6. Mangungu una hisi ana elimu na yupo bora kuliko Try Again? Ambaye kafanya kazi na Pope. alikuwa ndo analeta vyuma hapo msimbazi?

Simba mna mnasuport hii? au vibe tu.

PIA SOMA
- News Alert: - Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba
 
Kwamba annayejiuzulu huwa annaacha vitu nyuma. Unajua maana ya kujiuzulu?
Watu wamelia misimu miwili try again aondoke, leo kaondoka annakuja tena mtu ana hoji uwezo wa kuendesha mammbo.
Hey guy are you serious
 
sasa paper work vipi?? au mtu anasepa tu..

watu amna exposure kabisa. unajiuzulu unasema tarehe sio gafla tu . hasa chair man.
 
Unajichanganya wewe, kwa kazi ya try again anaweza omba apewe recommendation letter, of which nadhani atakua amefanya hivo, ila je! Hali ya team inaruhusu yeye alicommend?
Next, resignation maana yake anamove anything personal kwenye mahali allipokua, Je! Simba inaruhusu try again atoe hisia zake kwa wakati uliopo.
Kwenye resignation unaweza sema itachukua muda watu kukufikiria, yapo mazingira immediately unatakiwa usionekane. Je! Simba wapo na mazingira gani kwa try katika kujiuzulu kwake.
The last, tunasema resignation is the acceptance of something undesirable but inevitable.
Nakujibu kama ulivyoeleza ila haipo kama ulivyoeleza kwenye thread hii.
 
Nimekuelewa sana

ila hii ya simba Inaonekana ni immediately. na nikama try again kasepa easily bila kuwa accountable for anything. which i believe it's not good for such organisation . maana anaweza denied further cooperation or association with the organisation. na amna kitu mtamfanya.

an easy escape.
 
Back
Top Bottom