Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
mna suka vipi?? mtu hana kichwa ana waza kutembeaUto mtuache kidogo, tunasuka team yetu.
hii ni organisation. ulaya mtu anajiuzulu ila anabaki for few months kuweka paper work sawa. hii ya try again ni uongoUmeshaeshi kuongoza hata ukiranja shuleni mkuu?
sasa paper work vipi?? au mtu anasepa tu..Kwamba annayejiuzulu huwa annaacha vitu nyuma. Unajua maana ya kujiuzulu?
Watu wamelia misimu miwili try again aondoke, leo kaondoka annakuja tena mtu ana hoji uwezo wa kuendesha mammbo.
Hey guy are you serious
Unajichanganya wewe, kwa kazi ya try again anaweza omba apewe recommendation letter, of which nadhani atakua amefanya hivo, ila je! Hali ya team inaruhusu yeye alicommend?sasa paper work vipi?? au mtu anasepa tu..
watu amna exposure kabisa. unajiuzulu unasema tarehe sio gafla tu . hasa chair man.
Nimekuelewa sanaUnajichanganya wewe, kwa kazi ya try again anaweza omba apewe recommendation letter, of which nadhani atakua amefanya hivo, ila je! Hali ya team inaruhusu yeye alicommend?
Next, resignation maana yake anamove anything personal kwenye mahali allipokua, Je! Simba inaruhusu try again atoe hisia zake kwa wakati uliopo.
Kwenye resignation unaweza sema itachukua muda watu kukufikiria, yapo mazingira immediately unatakiwa usionekane. Je! Simba wapo na mazingira gani kwa try katika kujiuzulu kwake.
The last, tunasema resignation is the acceptance of something undesirable but inevitable.
Nakujibu kama ulivyoeleza ila haipo kama ulivyoeleza kwenye thread hii.