Try again asirudie makosa haya ya Mo Dewji ili uishi kwa amani

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media zitakupenda sana:

- hakikisha simba inapoteza ubingwa mwaka huu

- itolewe next round champions league

- ishindwe kulipa mishahara

- tengeneza makundi na majungu ndani ya klabu

- tafuta msemaji ambaye kazi yake itakuwa kuitisha press kwa nembo ya klabu na kumtukana gharib wa gsm na bakhressa wa azam(awatukane personally siyo klabu zao)

*Kama huamini kumbuka ndani ya miaka 4 ni CEO mmoja tu mwenye matokeo mabovu Senzo alifanikisha simba kutolewa na ud songo lakini hadi leo wachambuzi wanakuambia ndiye shujaa na genius

*Jitahidi sana brother ufanikishe niliyokuakmbia, mwenzako Mo kakomaa miaka 4 analeta makombe,robo fainali mbili na team kuanzia first round ya CAF watanzania hawataki hayo na hawajazoea mambo ya aiana hiyo TUNATAKA NEGATIVITIES
 
Ndo inayowalisha hata ukifuatilia aina ya wageni wanaoalikwa kwenye studio utajua ni Wachezaji wa timu gani
Nakuambia kwa mfano simba ndiyo ingetolewa round ya kwanza pasingekalika huko redioni, imagine mtu mzima msomi (kama kweli wamesoma) uko kwenye MIC povu linakutoka kuhusu bilioni 20 uonyeshwe na uambiwe iko bank gani ina maana siku ile hundi ya mfano iko presented hukujua kuna mtu wa FCC ? mwakilishi wa serikali
Basi kama wanasimba tumetapeliwa na Mo jamaa ni hatari sana maana kaitapeli na FCC/serikali na wako kimya
 
Mfano MO angekuwa ana mpango wa kutapeli, ndio angetapeli kijinga hivyo kama mtoto wa darasa la kwanza?
Aharibu jina lake na la famalia kizembe hivyo?
Watu sijui wakoje wanashindwa hata kujiuliza, kama MO akiharibu simba nani atamwamini dunia hii? Biashara zake zitaenda?
 
Kosa lake hadi leo ni kuifanya simba tishio hadi Afrika kwa miaka 4 hakuna jingine ,hoyahoya wa mtandaoni na mitaani sina shida nao sababu hii nchi ina wajinga wengi sana shida yangu kubwa ni hao wanaoitwa media personalities

kwa kweli wanasikitisha sana,mnoo they are too low wenyewe wanajiona wajanja wakijifanya kuchambua kazi ni kupiga makelele kwenye mic na kutemea mimate huku waki spit pumba na majungu
 
Kosa lake hadi leo ni kuifanya simba tishio hadi Afrika kwa miaka 4 hakuna jingine ,hoyahoya wa mtandaoni na mitaani sina shida nao sababu hii nchi ina wajinga wengi sana shida yangu kubwa ni hao wanaoitwa media personalities

kwa kweli wanasikitisha sana,mnoo they are too low wenyewe wanajiona wajanja wakijifanya kuchambua kazi ni kupiga makelele kwenye mic na kutemea mimata huku waki spit pumba na majungu
Mimi kila ninapokutana nao huko, mitandaoni huwachana ukweli.
Wananikera sana.
 
Top four msimu
1:yanga
2:azam
3:biashara
4:mbeya kwanza.
 
Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media zitakupenda sana:

- hakikisha simba inapoteza ubingwa mwaka huu

- itolewe next round champions league

- ishindwe kulipa mishahara

- tengeneza makundi na majungu ndani ya klabu

- tafuta msemaji ambaye kazi yake itakuwa kuitisha press kwa nembo ya klabu na kumtukana gharib wa gsm na bakhressa wa azam(awatukane personally siyo klabu zao)

*Kama huamini kumbuka ndani ya miaka 4 ni CEO mmoja tu mwenye matokeo mabovu Senzo alifanikisha simba kutolewa na ud songo lakini hadi leo wachambuzi wanakuambia ndiye shujaa na genius

*Jitahidi sana brother ufanikishe niliyokuakmbia, mwenzako Mo kakomaa miaka 4 analeta makombe,robo fainali mbili na team kuanzia first round ya CAF watanzania hawataki hayo na hawajazoea mambo ya aiana hiyo TUNATAKA NEGATIVITIES
Makolo muli bwanji Babaa
 
Hivi wachambuzi uchwara wa Tanzania, huwa wanalipwa na timu ya yanga Nini?? Maana habar za Simba zile mbaya ndio huwa wanazishabikia kwa 100%
 
Ukwiasikia wanavyolalamikia team hazipati mafanikio kimataifa unaweza ukadhani wako serious, simba mafanikio yake yanawaumiza sana miaka 4 si mchezo wanatamani hata Mo dewji afe kabisa
 
aisee,yaani wana chuki na club ya Simba, nashauri Simba waanzishe TV yao na gazeti maalum la club,

Hivi vyombo vingine vya habari vyote vinalipwa na Yanga kuiponda Simba!
 
Back
Top Bottom