Try again: Manzoki alisaini Simba

Angekuwa ngaya,wangemzuia jamaa asiende zake,jamaa wana ushamba wa asili.
 
Kama ni kweli basi Kuna % wanapata kutoka mshahara wa huyo mchezaji..
 
Simba ni waungwana sana.
Kumbe ndio maana Fei Toto anatamani kuchezea timu zenye roho safi
Unamruhusu vp mchezaji ambaye sio wako na hana mkataba na ww. Mnapenda kudanganywa sana.
 
Kwa iyo Simba ingemlipa mshahara wa milioni 25 kwa Mwezi kama asingeenda China.
 
Hii habari 100% kweli kabisa .nilikuwa naijua kitambo.

Simba ni waungwana sana ingekuwa upande WA pili Kila siku vikao visingeisha.
.
Utopolo ni hawataki mzawa apate kabisa
 
😎😎😎😎😎
Hata sijaisoma huwezi aminii....na uamini kabisa kuwa najibu tuu kwa sbb umeniita na sijapanda juu kusoma nini umeandika.
Manzoki alisaini Simba mkataba wa awali
 
Hii habari 100% kweli kabisa .nilikuwa naijua kitambo.

Simba ni waungwana sana ingekuwa upande WA pili Kila siku vikao visingeisha.
.
Utopolo ni hawataki mzawa apate kabisa
Kwan manzoki ni mzawa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…