Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamruhusu vp mchezaji ambaye sio wako na hana mkataba na ww. Mnapenda kudanganywa sana.Simba ni waungwana sana.
Kumbe ndio maana Fei Toto anatamani kuchezea timu zenye roho safi
Ntashangaa sana wakimsajiliAtakuja kucheza akishakuwa veteran achukue hela za mbumbumbu
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kama ni habari za msimu ulopita hazinihusu kwa sasaManzoki alisaini Simba mkataba wa awali
Mbeleni wapiiHapana mkuu....it means anaweza kuja mbeleni