Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kwani sio????🤣Mashabiki wa simba ifikie wakati mkatae hii tabia ya viongozi wenu kuwaona nyinyi kama mbumbumbu vile.
Japo mi sio shabik wa simba, ila amenikera hapo anapozungumzia "bahati". Hii kiukwel ni kuonana watotoMuendelezo wa kufarijiana!
Aaahaaaa"Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa. — Mwenyekiti wa Bodi Simba, Salim Abdallah 'Try Again'
"Mimi naamini kwa timu tuliyonayo, kwa nyinyi mlivyo mimi naamini kabisa tunaenda kupata ushindi, tusikate tamaa hata kidogo morali yetu iwe juu kabisa kupita hii tuliyokuwa nayo mimi naamini mnaweza kufanya hivyo na tukapata ushindi ugenini." — Try Again
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mashabiki wa simba ifikie wakati mkatae hii tabia ya viongozi wenu kuwaona nyinyi kama mbumbumbu vile.
Yaani kirahisi tu simba ikapate ushindi Misri!! Kweli? Bora hata angesema timu itaenda kupambana ili isifungwe goli nyingi (yaani Khamsa) na Waarabu.
duh ngoja tuone"Bahati haiwezi kuwa kwao kila siku, leo imekuwa bahati kwao, kesho inaweza kuwa kwetu, cha msingi kuwa na morali, umoja, upendo na kujiandaa, hatuwezi kwenda kushinda ugenini kama tutakata tamaa. — Mwenyekiti wa Bodi Simba, Salim Abdallah 'Try Again'
"Mimi naamini kwa timu tuliyonayo, kwa nyinyi mlivyo mimi naamini kabisa tunaenda kupata ushindi, tusikate tamaa hata kidogo morali yetu iwe juu kabisa kupita hii tuliyokuwa nayo mimi naamini mnaweza kufanya hivyo na tukapata ushindi ugenini." — Try Again
Labda wakaze tako mwarabu asiruke ukutaKwa Al Ahaly niliyoiona juzi,mkikaza Simba mnamtoa.wekeni juhudi na nia tukutane Fainali
Kama weweTry agan hana akili kabisa........
Anasubiri wanasimba waende nyumbani kwake wakapindue meza yakeMangungu anasemaje?!
Kwani hamasa ya uzalendo imechana mkeka au🤔Mashabiki wa simba ifikie wakati mkatae hii tabia ya viongozi wenu kuwaona nyinyi kama mbumbumbu vile.
Yaani kirahisi tu simba ikapate ushindi Misri!! Kweli? Bora hata angesema timu itaenda kupambana ili isifungwe goli nyingi (yaani Khamsa) na Waarabu.