Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
 
Kwa kweli viongozi waondoke tu- hasa Try again na Babra, maana kwa haraka haraka, usajili was msimu huu wachezaji wengi tumepigwa tena. Nakumbuka maneno ya Aden Rage " Uongozi was Simba hakuna watu wa mpira"
 
Tumekosa mara nyingi, tukafanya uzembe wametuadhibu. No excuse, tuliziidiwa kipindi cha pili, overconfidence imetuponza

..we fall,we break,we fail
But then,we we rise,we heal,we overcome

A lion lives in the heart of every brave man.
We win together,we lose together..Simba nguvu moja 🇮🇩
 
Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.
Sasa nan anaetaka uongozi wa simba uvurugike? Yaan kufungwa na yanga ndo iwe excuse kubwa hivyo?? Noope.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom