MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Wakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!