Viongozi wamekuwa na a lot of excuses! Sasa tudeal na viongozi! Wamefeli na uvumilivu wetu umefika mwisho game hii! We are done! Kesho mapema mjiuzuru kabla mashabiki hawajaamua hatma ya timu.Kabisa. Ni aibu kubwa na wana Simba hatuna excuse tena kwenye hilo.
Nimefika mkuufinancial services njoo huku
Pambana nao nakulinda kipenziNimefika mkuu
Sasa nan anaetaka uongozi wa simba uvurugike? Yaan kufungwa na yanga ndo iwe excuse kubwa hivyo?? Noope.Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.