Haswaaaaaaah!!! "!Tumekosa mara nyingi, tukafanya uzembe wametuadhibu. No excuse, tuliziidiwa kipindi cha pili, overconfidence imetuponza
..we fall,we break,we fail
But then,we we rise,we heal,we overcome
A lion lives in the heart of every brave man.
We win together,we lose together..Simba nguvu moja [emoji1129]
We don't care, wameshindwa kuifunga Yanga waondoke! Game ya ngapi hii tunavumilia? Hao ni failures!Sasa nan anaetaka uongozi wa simba uvurugike? Yaan kufungwa na yanga ndo iwe excuse kubwa hivyo?? Noope.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona chochote cha kulaumu hapo. Tuanze msimu mpya kwa Ari, nguvu na kasi.We don't care, wameshindwa kuifunga Yanga waondoke! Game ya ngapi hii tunavumilia? Hao ni failures!
Sawa mkuu lakini kwa kupigwa huku na utopolo mfululizo hapana bora upoteze na Ihefu..Tumekosa mara nyingi, tukafanya uzembe wametuadhibu. No excuse, tuliziidiwa kipindi cha pili, overconfidence imetuponza
..we fall,we break,we fail
But then,we we rise,we heal,we overcome
A lion lives in the heart of every brave man.
We win together,we lose together..Simba nguvu moja 🇮🇩
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yakoWakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Poleni sanaa ndugu,,waswahili wanasema kutesa kwa zamu, ukiona unacheka leo, ujue kesho na wewe utalia.ni suala la mda tu!We don't care, wameshindwa kuifunga Yanga waondoke! Game ya ngapi hii tunavumilia? Hao ni failures!
Yes..kuna tatizo mahali, tatizo kubwa snSawa mkuu lakini kwa kupigwa huku na utopolo mfululizo hapana bora upoteze na Ihefu..
Umemalizaaaa????Tatizo lenu simba uwa amtaki kuambiwa ukweli na mkiambiwa ukweli mnajifanya wajuaji sana, kitendo cha kuwafunga wale wahabeshi kwenye simba day ndo kukawapoteza kabisa mkajiona tiyali mmekuwa bora lakini kwa sisi tunaoungalia mpira kwa angle ya kiufundi tuliona bado mnayo mapungufu mengi Sana kuanzia kwenye safu yenu ya ulinzi mpaka kwenye kiungo, siwezi kuongelea safu ya ushambuliaji kwasababu akuna mshambuliaji wa maana mpaka sasa mliyemsajili, Laiti Kama mngekutana na timu bora zaidi ya st.george pengine ingewaonyesha mapungufu yenu lakini ndo ivyo mliona mmemaliza kila kitu, Utake usitake ubora wa yanga bado utawasumbua Sana Kama mtaendelea kuwabeza, mjanja ni yule anaekubali madhaifu yake na kuyafanyia kazi lakini ukiwa mjuaji cha moto utakiona
Ni upuuzi mtupu. Kamati ya usajili inafeli Sana.Tutamkumbuka Marehemu Hanspope.Viwango wa wachezaji wetu ni vidogo
Mara unashangaa mama yako kaandika kwa bold "Mayele nakojoaa"Wanawake wote washabiki wa simba humu andikeni kwa bold (Mayele nakojoaa)