Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Tumekosa mara nyingi, tukafanya uzembe wametuadhibu. No excuse, tuliziidiwa kipindi cha pili, overconfidence imetuponza

..we fall,we break,we fail
But then,we we rise,we heal,we overcome

A lion lives in the heart of every brave man.
We win together,we lose together..Simba nguvu moja [emoji1129]
Haswaaaaaaah!!! "!
 
Sasa nan anaetaka uongozi wa simba uvurugike? Yaan kufungwa na yanga ndo iwe excuse kubwa hivyo?? Noope.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We don't care, wameshindwa kuifunga Yanga waondoke! Game ya ngapi hii tunavumilia? Hao ni failures!
 
Tumekosa mara nyingi, tukafanya uzembe wametuadhibu. No excuse, tuliziidiwa kipindi cha pili, overconfidence imetuponza

..we fall,we break,we fail
But then,we we rise,we heal,we overcome

A lion lives in the heart of every brave man.
We win together,we lose together..Simba nguvu moja 🇮🇩
Sawa mkuu lakini kwa kupigwa huku na utopolo mfululizo hapana bora upoteze na Ihefu..
 
Tatizo lenu simba uwa amtaki kuambiwa ukweli na mkiambiwa ukweli mnajifanya wajuaji sana, kitendo cha kuwafunga wale wahabeshi kwenye simba day ndo kukawapoteza kabisa mkajiona tiyali mmekuwa bora lakini kwa sisi tunaoungalia mpira kwa angle ya kiufundi tuliona bado mnayo mapungufu mengi Sana kuanzia kwenye safu yenu ya ulinzi mpaka kwenye kiungo, siwezi kuongelea safu ya ushambuliaji kwasababu akuna mshambuliaji wa maana mpaka sasa mliyemsajili, Laiti Kama mngekutana na timu bora zaidi ya st.george pengine ingewaonyesha mapungufu yenu lakini ndo ivyo mliona mmemaliza kila kitu, Utake usitake ubora wa yanga bado utawasumbua Sana Kama mtaendelea kuwabeza, mjanja ni yule anaekubali madhaifu yake na kuyafanyia kazi lakini ukiwa mjuaji cha moto utakiona
 
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Kwa mara ya kwanza naunga mkono hoja yako
 
Tatizo lenu simba uwa amtaki kuambiwa ukweli na mkiambiwa ukweli mnajifanya wajuaji sana, kitendo cha kuwafunga wale wahabeshi kwenye simba day ndo kukawapoteza kabisa mkajiona tiyali mmekuwa bora lakini kwa sisi tunaoungalia mpira kwa angle ya kiufundi tuliona bado mnayo mapungufu mengi Sana kuanzia kwenye safu yenu ya ulinzi mpaka kwenye kiungo, siwezi kuongelea safu ya ushambuliaji kwasababu akuna mshambuliaji wa maana mpaka sasa mliyemsajili, Laiti Kama mngekutana na timu bora zaidi ya st.george pengine ingewaonyesha mapungufu yenu lakini ndo ivyo mliona mmemaliza kila kitu, Utake usitake ubora wa yanga bado utawasumbua Sana Kama mtaendelea kuwabeza, mjanja ni yule anaekubali madhaifu yake na kuyafanyia kazi lakini ukiwa mjuaji cha moto utakiona
Umemalizaaaa????
 
Yanga haijaifunga Simba kisa wamejua mbinu zao sijui michezo gani, Simba haijafungwa kisa bahati mbaya. Namna Simba walivyoanza mchezo kabla ya kufunga goli walikuwa wanacheza kienyeji sio kama timu kubwa. Walipofunga kidogo wakawa sawa ila waliporudi kipindi cha pili kocha wa Yanga kafanya mabadiliko ya mfumo na wachezaji timu ikaperform.

Hata hizi timu zingekutana kwa mara ya kwanza leo, Yanga ingefunga kwa kuwa ilionyesha uwezo. Hata kocha wake ameonyesha uwepo. Simba inategemea ifunge kisa ni timu kubwa, haitaki aibu na huwa inafungwa sana na Yanga. Mpira hauko hivyo hata Man U wamepigwa leo.

Kwa timu zote mbili bado sijaona atakayetuwakilisha kimataifa. Tutapigwa tu
 
Back
Top Bottom