Yule mzungu ndo ushauri wa kocha unategemea nini?Hawa viongozi ndo kimbelembele cha kujifanya usajili bila kufuata ushauri wa kocha waachie ngazi mara moja
sasa viongozi wenu wangefanyaje? wamewapeleka kambi 'bora' kule Misri, B. 26 wamewaletea klabuni, Kagere, Lwanga, Mugalu wameachwa na wameletwa mnaowataka.......! ila Yanga raha sana! Poleni watani [emoji9]Mashabiki waacheni wachezaji na makocha! Tuna matatizo na viongozi! Wamefeli! Simple!
Hakuna jipya! Mpaka sasa tunafanya makosa yale yale! Tumeboronga last year lakini mabingwa wamesha spot watu wanaowataka na kufunga deal huku Simba deals zingine tumefunga majuzi na nyingine tumeshindwa!Sijaona chochote cha kulaumu hapo. Tuanze msimu mpya kwa Ari, nguvu na kasi.
Ya leo yameishia hapa.
MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGUUUUU [emoji1787]Sijaona chochote cha kulaumu hapo. Tuanze msimu mpya kwa Ari, nguvu na kasi.
Ya leo yameishia hapa.
Sema Bingwa wako wa NBC PL, FA na Ngao ya hisani wewe MAKOLO, uwe na adabu hala! [emoji23]Sawa mkuu lakini kwa kupigwa huku na utopolo mfululizo hapana bora upoteze na Ihefu..
Hujataja tobo la Mayele kwa Inonga kabla goli la pili halijaingia kwa KakolanyaWakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGUUUUU [emoji1787]Ni upuuzi mtupu. Kamati ya usajili inafeli Sana.Tutamkumbuka Marehemu Hanspope.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwetu thithi wamakonde, umitikoseaaaa..!!! ungethemaa NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!! NLETE NDHUNGUU..!!MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGUUUUU [emoji1787]
Ungemalizia kabisa "kufungwa na Yanga alafu na mayele ni aibu"Wakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Mzungu Bongo? Huyo Mzungu hana tofauti na yule Jaja wa Brazil aliyechangamka aliyekujaga TZ kuchezea Yanga [emoji16]Akpan ni cheap player, tunatafuta cheap players! Ndio maana tunamshindwa Manzoki tunaleta mzungu! Stupid!
Kabisa huu usajili wa akpan sikuutegemea Simba, Yani tuna management ya ajabu na yakipimbavu sana na kwa style hii tutaendelea kuwa vibonde wa YangaAkpan ni cheap player, tunatafuta cheap players! Ndio maana tunamshindwa Manzoki tunaleta mzungu! Stupid!
Yanga wamechukua vijana wengi wa Vita sc , wanajuana na wana kiu! Watatusumbua sana tusiposajili wachezaji wakubwa! Tumesajili average players ambao hawawezi kufanya makubwa.Kabisa huu usajili wa akpan sikuutegemea Simba, Yani tuna management ya ajabu na yakipimbavu sana na kwa style hii tutaendelea kuwa vibonde wa Yanga
Dejaaaaaaaaaaaan!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGU, MLETE MZUNGUUUUU [emoji1787]
Hebu kuwa mkweli, acha kulaumu watu, tatizo la simba ni dimba la kati, no 6 hakuna., kingine chama alitolewa kwann?Hakuna jipya! Mpaka sasa tunafanya makosa yale yale! Tumeboronga last year lakini mabingwa wamesha spot watu wanaowataka na kufunga deal huku Simba deals zingine tumefunga majuzi na nyingine tumeshindwa!
Leo umeona any brilliant player? Okra kafeli game ya Simba day, deby pia sijaona alichofanya, huyo mzungu bora hata akina Kagere! Tumefeli last year, tunafeli tena mwaka huu! Hamasa haisaidii bila kuwa na wachezaji wakubwa kweli na si wakubwa kishabiki!