Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Mdogo wangu umeyakanyaga[emoji23]
20220812_233808.jpg
 
Hizi mechi za derby huwa inaondoka na kiongozi Simba ikifungwa tu ndo maana tulikuwa tunakaza ,Simba kwa vile wamefanikiwa kimataifa wanaanza kudharau mechi za ndani wanaweka nguvu nje ,wakati wanajua matokeo ya nje yanatokana na ndani, sasa hivi wanadharau mechi za ndani ,umeona misimu iliyopita kila tukifungwa mechi ya kimataifa au kutolewa viongozi na makocha nao wanatimuliwa
 
Sijaona chochote cha kulaumu hapo. Tuanze msimu mpya kwa Ari, nguvu na kasi.

Ya leo yameishia hapa.
Hakuna jipya! Mpaka sasa tunafanya makosa yale yale! Tumeboronga last year lakini mabingwa wamesha spot watu wanaowataka na kufunga deal huku Simba deals zingine tumefunga majuzi na nyingine tumeshindwa!

Leo umeona any brilliant player? Okra kafeli game ya Simba day, deby pia sijaona alichofanya, huyo mzungu bora hata akina Kagere! Tumefeli last year, tunafeli tena mwaka huu! Hamasa haisaidii bila kuwa na wachezaji wakubwa kweli na si wakubwa kishabiki!
 
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Hujataja tobo la Mayele kwa Inonga kabla goli la pili halijaingia kwa Kakolanya
 
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Ungemalizia kabisa "kufungwa na Yanga alafu na mayele ni aibu"
 
Kabisa huu usajili wa akpan sikuutegemea Simba, Yani tuna management ya ajabu na yakipimbavu sana na kwa style hii tutaendelea kuwa vibonde wa Yanga
Yanga wamechukua vijana wengi wa Vita sc , wanajuana na wana kiu! Watatusumbua sana tusiposajili wachezaji wakubwa! Tumesajili average players ambao hawawezi kufanya makubwa.
 
Hakuna jipya! Mpaka sasa tunafanya makosa yale yale! Tumeboronga last year lakini mabingwa wamesha spot watu wanaowataka na kufunga deal huku Simba deals zingine tumefunga majuzi na nyingine tumeshindwa!

Leo umeona any brilliant player? Okra kafeli game ya Simba day, deby pia sijaona alichofanya, huyo mzungu bora hata akina Kagere! Tumefeli last year, tunafeli tena mwaka huu! Hamasa haisaidii bila kuwa na wachezaji wakubwa kweli na si wakubwa kishabiki!
Hebu kuwa mkweli, acha kulaumu watu, tatizo la simba ni dimba la kati, no 6 hakuna., kingine chama alitolewa kwann?
 
Back
Top Bottom