Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.
Mavuno mazuri yanatokana na jinsi ulioandaa shamba lako.. Simba wasitafute sababu nyingi. Mpira ni lazma utoe matokeo. Wajipange upya bado milango ipo wazi
 
Sijaona chochote cha kulaumu hapo. Tuanze msimu mpya kwa Ari, nguvu na kasi.

Ya leo yameishia hapa.
Coca acha mashairi yako hapa, msimu huu hakuna kombe tutachukua kwa aina ile ya uchezaji tena kama hakutakuwa na ingizo la straiker mpya basi game za mikoani tutagawa pionts sana tu.

Kibu, Kyombo, Mzungu koko, Mzamiru, Mwenda wote hao ni takataka ambazo hiwezi kusema zitabadilika.
 
Nimependa aina ya ushabiki wako, hongera, naamini Simba ni nzuri Haina tatizo ila haya ndiyo matokeo ya mpira.
 
 
Wachezaji wa simba kuna kipindi waki ingiwa na hofu sijui kwann yaan simba inatokea hii, yaan hii ni mbaya hata wazamini wqtaona ni uboya kuwekeza simba
 
Mimi binafsi najipa likizo ya kuishabikia Simba kwa muda usiojulikana siwezi kujiua kwa presha kwa upumbavu wa watu wasiojali maumivu ya wenzao...... viongozi wanatuona sisi mashabiki kama makatuni.........

Nisije kupata stroke bure na uzee huu nikafa kifala kwa ulofa wa wapuuzi wachache..........Mimi na Simba inatosha kwa sasa mpaka uongozi utakapoonesha umakini......... ENOUGH IS ENOUGH
 
Uamuzi sahihi, ila sijui tu siku ukisikia timu yako inacheza na probably ikafunga, basi utajiskia vizuri na ushabiki utarudi kwa kasi japo ulijisemea hutoshabikia tena, ni ngumu kiasi.
 
Kwanini upate shida jombaa, Yanga ndiyo timu iliyopendekezwa na Prof. Janabi kwa watu wenye magonjwa ya moyo.
 
Uamuzi sahihi, ila sijui tu siku ukisikia timu yako inacheza na probably ikafunga, basi utajiskia vizuri na ushabiki utarudi kwa kasi japo ulijisemea hutoshabikia tena, ni ngumu kiasi.
Huu uamuzi umekuja baada ya upembuzi na uchambuzi yakinifu ukiakisi hali ilivyo ndani ya Simba na kwa faida ya afya yangu pia......
 
Simba tutapigwa na Yanga hadi tukome.
Uzungu ni mwingi sana yaani
Ufunguo umemaliza hela ya maandalizi ya pre season, Uto watakuwa Matombo wakicheza na Moro Kids, sisi tuko huku Ismailia kwa Mafarau tuna hela nyingi sana sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…