MzeeMpya
JF-Expert Member
- Dec 19, 2019
- 519
- 662
Mavuno mazuri yanatokana na jinsi ulioandaa shamba lako.. Simba wasitafute sababu nyingi. Mpira ni lazma utoe matokeo. Wajipange upya bado milango ipo waziYaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.