OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
mechi zote walizotuzaba wanapitia mlango sio hata Mwanza walifanya hivyo inaonyesha wanamipango mingi ya ushindi nje ya uwanja.Simba tutapigwa na Yanga hadi tukome.
Uzungu ni mwingi sana yaani
Tuliza komwe na kalio hilo, ubovu wa MATOLA ni nini? Yy ni kocha msaidizi anaweza kumpangia kocha mkuu?mtu muungwana unatakiwa kukaa pembeni mwenyewe tu. usisubiri kukataliwa waziwazi Matola, Try Again tumieni busara, watu wa kuongoza Simba hawajaisha
Ninyi si wachawi?? Sasa watu wanatumia mbinu mbadala.mechi zote walizotuzaba wanapitia mlango sio hata Mwanza walifanya hivyo inaonyesha wanamipango mingi ya ushindi nje ya uwanja.
uuuuwiii Mungu wangu!,,,leo hii Simba amekua mteja kwa Utopolo.
Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.
Dah 🤣🤣🤣🤣 pole sana.Mimi binafsi najipa likizo ya kuishabikia Simba kwa muda usiojulikana siwezi kujiua kwa presha kwa upumbavu wa watu wasiojali maumivu ya wenzao...... viongozi wanatuona sisi mashabiki kama makatuni.........
Nisije kupata stroke bure na uzee huu nikafa kifala kwa ulofa wa wapuuzi wachache..........Mimi na Simba inatosha kwa sasa mpaka uongozi utakapoonesha umakini......... ENOUGH IS ENOUGH
Tena wewe babe ni Simba eeh? Mkifungwa Hamna kulala nyumbani😂😂Dah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji20][emoji20] nmepata kwakwel [emoji16]
Ndio..Sababu ya YangaWewe umenuna kwani? Sababu ni nini? Polee
Hapa nakuunga mkono!Akpan ni cheap player, tunatafuta cheap players! Ndio maana tunamshindwa Manzoki tunaleta mzungu! Stupid!
Paniki zinawasumbua tu, ila timu ikifanya vyema huko mbeleni haya yote mtayasahau.Wakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Acha Uasi mkuu, rudi kundini, yaliyotokea jana ni matokeo tu ya mpira hayo.Mimi binafsi najipa likizo ya kuishabikia Simba kwa muda usiojulikana siwezi kujiua kwa presha kwa upumbavu wa watu wasiojali maumivu ya wenzao...... viongozi wanatuona sisi mashabiki kama makatuni.........
Nisije kupata stroke bure na uzee huu nikafa kifala kwa ulofa wa wapuuzi wachache..........Mimi na Simba inatosha kwa sasa mpaka uongozi utakapoonesha umakini......... ENOUGH IS ENOUGH
Naanzaje kua simba sasaTena wewe babe ni Simba eeh? Mkifungwa Hamna kulala nyumbani😂😂
Hapana mkuu mimi sija asi isipokuwa maamuzi yamezingatia mambo ya kimsingi na kimkakati yanayoendelea kwenye idara ya uongozi wa Simba na benchi zima la ufundi......nimegundua kuwa mioyo yao haipo kama ya kwetu......sisi tumewekeza mioyo kwa ajili ya furaha yetu wao wamewekeza matumbo yao kwa ajili ya shibe zao....Acha Uasi mkuu, rudi kundini, yaliyotokea jana ni matokeo tu ya mpira hayo.
Mbumbunbu wanaparuanaTuliza komwe na kalio hilo, ubovu wa MATOLA ni nini? Yy ni kocha msaidizi anaweza kumpangia kocha mkuu?
Wewe mtoa mada mpuuzi kweli. Yanga amekuzidi kila kitu toka ligi ianze 1965. Look here: Yanga na Simba hadi Jana ni mechi yao ya 110. Kati ya hizo, Yanga ameshinda mara 39, Simba ameshinda mara 32, mechi 39 ni sare. Yanga amemfunga Simba magoli 153 hadi Jana, Simba kamfunga Yanga magoli 137. Yanga amechukua ubingwa mara 28, Simba mara 22. Kila eneo Umezidiwa, Sasa leo unasema eti ni aibu kufungwa na Yanga? We kichekesho kweli.Wakuu,
Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.
Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!
Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!