Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

Try Again umewashindwa Yanga! Pumzika kaka

mtu muungwana unatakiwa kukaa pembeni mwenyewe tu. usisubiri kukataliwa waziwazi Matola, Try Again tumieni busara, watu wa kuongoza Simba hawajaisha
 
Simba tutapigwa na Yanga hadi tukome.
Uzungu ni mwingi sana yaani
mechi zote walizotuzaba wanapitia mlango sio hata Mwanza walifanya hivyo inaonyesha wanamipango mingi ya ushindi nje ya uwanja.
uuuuwiii Mungu wangu!,,,leo hii Simba amekua mteja kwa Utopolo.
 
mtu muungwana unatakiwa kukaa pembeni mwenyewe tu. usisubiri kukataliwa waziwazi Matola, Try Again tumieni busara, watu wa kuongoza Simba hawajaisha
Tuliza komwe na kalio hilo, ubovu wa MATOLA ni nini? Yy ni kocha msaidizi anaweza kumpangia kocha mkuu?
 
Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.

Dah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji20][emoji20] nmepata kwakwel [emoji16]
 
Mimi binafsi najipa likizo ya kuishabikia Simba kwa muda usiojulikana siwezi kujiua kwa presha kwa upumbavu wa watu wasiojali maumivu ya wenzao...... viongozi wanatuona sisi mashabiki kama makatuni.........

Nisije kupata stroke bure na uzee huu nikafa kifala kwa ulofa wa wapuuzi wachache..........Mimi na Simba inatosha kwa sasa mpaka uongozi utakapoonesha umakini......... ENOUGH IS ENOUGH
Dah 🤣🤣🤣🤣 pole sana.
 
Akpan ni cheap player, tunatafuta cheap players! Ndio maana tunamshindwa Manzoki tunaleta mzungu! Stupid!
Hapa nakuunga mkono!
Haiingii akilini hadi leo Mwenda
Gadiel, Nyoni, Mzamiru
Eti ni wachezaji wa Simba wenye plan za kufika CAF nusu fainal,
Huna striker..
400m zinashindwa team yenye malengo makubwa.

Next match na geita tufungwe tena..MO nae bahili sana.anataka atoe sh.100 usajili apate faida ya laki moja
 
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Paniki zinawasumbua tu, ila timu ikifanya vyema huko mbeleni haya yote mtayasahau.
 
Mimi binafsi najipa likizo ya kuishabikia Simba kwa muda usiojulikana siwezi kujiua kwa presha kwa upumbavu wa watu wasiojali maumivu ya wenzao...... viongozi wanatuona sisi mashabiki kama makatuni.........

Nisije kupata stroke bure na uzee huu nikafa kifala kwa ulofa wa wapuuzi wachache..........Mimi na Simba inatosha kwa sasa mpaka uongozi utakapoonesha umakini......... ENOUGH IS ENOUGH
Acha Uasi mkuu, rudi kundini, yaliyotokea jana ni matokeo tu ya mpira hayo.
 
Acha Uasi mkuu, rudi kundini, yaliyotokea jana ni matokeo tu ya mpira hayo.
Hapana mkuu mimi sija asi isipokuwa maamuzi yamezingatia mambo ya kimsingi na kimkakati yanayoendelea kwenye idara ya uongozi wa Simba na benchi zima la ufundi......nimegundua kuwa mioyo yao haipo kama ya kwetu......sisi tumewekeza mioyo kwa ajili ya furaha yetu wao wamewekeza matumbo yao kwa ajili ya shibe zao....

Kwa kiwango Cha mapenzi yangu kwa klabu yangu ya Simba nimeona kwamba nikindelea hivi nitakuja kufa kwa presha au kupata stroke kwa mshtuko.....Bora nikae pembeni kwanza....
 
Wakuu,

Huu uongozi umeshindwa kuwafunga Yanga, wakubali hatuwezi kuishi bila kuwafunga Yanga. Wajiuzulu tupate watu wenye mipango mipya.

Kufungwa na Yanga ni aibu isiyo na excuse! Ni kama wamejua mlango wa kudeal na sisi na tumeshindwa kuufunga. Sasa tufukuze viongozi, sio kocha, sio wachezaji! Hakuna raha bila kuwafunga Yanga!

Officially tumekuwa wateja wa Yanga! Hii aibu hii ni mwisho kuivumilia! Simba tufanye mabadiliko! No excuse!
Wewe mtoa mada mpuuzi kweli. Yanga amekuzidi kila kitu toka ligi ianze 1965. Look here: Yanga na Simba hadi Jana ni mechi yao ya 110. Kati ya hizo, Yanga ameshinda mara 39, Simba ameshinda mara 32, mechi 39 ni sare. Yanga amemfunga Simba magoli 153 hadi Jana, Simba kamfunga Yanga magoli 137. Yanga amechukua ubingwa mara 28, Simba mara 22. Kila eneo Umezidiwa, Sasa leo unasema eti ni aibu kufungwa na Yanga? We kichekesho kweli.
 
Back
Top Bottom