KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Siwezi kuwa mnafiki na daima namuomba Mungu aniepushe na na dhambi ya unafikiKwanini upate shida jombaa, Yanga ndiyo timu iliyopendekezwa na Prof. Janabi kwa watu wenye magonjwa ya moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kuwa mnafiki na daima namuomba Mungu aniepushe na na dhambi ya unafikiKwanini upate shida jombaa, Yanga ndiyo timu iliyopendekezwa na Prof. Janabi kwa watu wenye magonjwa ya moyo.
Amia Yanga, mwenzako Manara siyo mjingaSiwezi kuwa mnafiki na daima namuomba Mungu aniepushe na na dhambi ya unafiki
Rejea jibu langu la mwanzo.....Amia Yanga, mwenzako Manara siyo mjinga
Ok basi ni uamuzi sahihi mkuu, au uhamie huku Yanga😝Huu uamuzi umekuja baada ya upembuzi na uchambuzi yakinifu ukiakisi hali ilivyo ndani ya Simba na kwa faida ya afya yangu pia......
Yanga nimeiweka kwenye msamiati wa tusi ukinitajia Yanga kama umenitukana....nitake radhi ankali....🙄🙄Ok basi ni uamuzi sahihi mkuu, au uhamie huku Yanga😝
Heee basi nisamehe mkuu😂😂😂Yanga nimeiweka kwenye msamiati wa tusi ukinitajia Yanga kama umenitukana....nitake radhi ankali....🙄🙄
Waondoke hatuwezi kuwa wateja kila sikuTumesajili wachezaji ovyo kwa mtindo ule ule! Viongozi hawa tumewavumilia mno! Waondoke tuunde timu upya! Hatuwezi kufanywa wateja na Yanga mfululizo kipumbavu!
Hii comment imenichekesha sana,kwahiyo ile haikuwa timu ya mpiraa[emoji2][emoji2][emoji2]Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.
Uwe na siku njema wewe wapendwa wako......Heee basi nisamehe mkuu😂😂😂
Sasa Fred vunja bei ndio unampa deal ya kusambaza jezi yy mwenyewe ungaunga mwana[emoji1787]Timu nzima ya usajili.
Huu ujinga wanaotufanyia hapana
Kwanza Jezi hadi leo haijulikana kinachoendelea
Pili wanafanya sajili za kijinga
Tunafungwa hovyo na Yanga
Ile ni kwaya yenye timu ya mpira ndani, yaani main function yao ni kwaya, huo mda wa mazoezi ya mpira ni kidogo mno😂. Simba wakapiga bomu mochwari wakajisifia wameua😂Hii comment imenichekesha sana,kwahiyo ile haikuwa timu ya mpiraa[emoji2][emoji2][emoji2]
Ahsante, siku njema pia mkuuUwe na siku njema wewe wapendwa wako......
Timu ya kwaya ya mtakatifu joji kigango cha matranda huko esopia.Ile ni kwaya yenye timu ya mpira ndani, yaani main function yao ni kwaya, huo mda wa mazoezi ya mpira ni kidogo mno😂. Simba wakapiga bomu mochwari wakajisifia wameua😂
mmmmh.sio kwa dongo hili.Yaani Simba mkifungwaga tu mnaanza maneno na kufukuzisha viongozi, mnataka mfunge nyie tu, kubalini kushindwa sometimes. Mlivyowafunga wale wanakwaya St. George mkajionaaa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ulikuwa Simba sasa hamfungiki?? OKRAH, OKWA, SAKHO, PHIRI, CHAMA, KIBE DEEEE ni kikundi cha MUNGIKIWaondoke hatuwezi kuwa wateja kila siku
Babra akawadanganya kuwa wao ni unstoppable na wao wakawa wanachekelea.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we ulikuwa Simba sasa hamfungiki?? OKRAH, OKWA, SAKHO, PHIRI, CHAMA, KIBE DEEEE ni kikundi cha MUNGIKI
AiseeeWanawake wote washabiki wa simba humu andikeni kwa bold (Mayele nakojoaa)