Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba tunawasumbua bali tunafunga na mpira mkubwa sana unapigwa, Mayele kama sio sub jana angetetema mara 3,Kwa kweli miaka ya Hivi karibuni, Yanga wamekuwa wakitusumbua sana...
Tunaoumia ni sisi mashabikiTumesajili wachezaji ovyo kwa mtindo ule ule! Viongozi hawa tumewavumilia mno! Waondoke tuunde timu upya! Hatuwezi kufanywa wateja na Yanga mfululizo kipumbavu!