Kwa kiswahili tunaweza kutafsiri hivi" Kama binti wa Teresa ni mama wa binti yangu.Je mimi ni nani kwa Teresa?
1.Grandmother -Bibi
2.Mother- Mama
3.Granddoughter-Mjukuu
4.Doughter-Binti
5.Teresa.
Sasa tafakari Mama wa binti yangu si ndo mke wangu.Sasa huyu mke wangu ambaye amezaliwa na Teresa.Teresa kwangu ni mama mkwe.Labda sijui kiingereza ya tafsiri ya mamamkwe "mother in law. Sasa kwa kuwa kwenye multiple choice hakuna mother in law basi jibu ni B yaani "Mother"