Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Alikua na nguvu za ziada. Aliweza kuchana rundo la ma gazeti kwa wakati mmoja.
Siku moja wakiwa mezani wanakula chakula, Balozi wa Austria alisema wakifanya was fujo na Urusi watatuma vikosi viwili tu vya jeshi kuinyosha Urusi, Alexander Alikunja fundo kwenye uma na kumwambia hiki ndicho nitakacholifanyia jeshi lako.