Tsar Alexander III aliweza kukunja mafundo kwenye uma wa kulia chakula

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Alikua na nguvu za ziada. Aliweza kuchana rundo la ma gazeti kwa wakati mmoja.

Siku moja wakiwa mezani wanakula chakula, Balozi wa Austria alisema wakifanya was fujo na Urusi watatuma vikosi viwili tu vya jeshi kuinyosha Urusi, Alexander Alikunja fundo kwenye uma na kumwambia hiki ndicho nitakacholifanyia jeshi lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…