Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Si ni watanzania hawa hawa humaliza zaidi ya laki baa kwa usiku?Bei halisi ya jezi original watanzania wengi hawawezi kuinunua kwasababu ya low purchasing power yetu, yaani ugali unakosekana sembuse kununua jezi?
Ukiona hawanunui jua hawajashawishiwa kufanya hivyo.