Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Si ni watanzania hawa hawa humaliza zaidi ya laki baa kwa usiku?Bei halisi ya jezi original watanzania wengi hawawezi kuinunua kwasababu ya low purchasing power yetu, yaani ugali unakosekana sembuse kununua jezi?
Unaongeza ngapi mkuu kiwe kikubwa?Sio sawa hivi mpira na mamiss nini ni zaidi ni pesa ndogo sana
Mimi nafikiri cha kufanya washabiki tujae uwanjani kila mechi au wewe mtoa mada uongeze milioni mia4 ili bingwa apate milioni mia5Uwekezaji unaofanywa na timu za ligi kuu ya Vodacom unafanana na zawadi ya mshindi wa kwanza inayotolewa?
Tufanye Nini?
Sio kweli mzee hata kwetu timu zinapata ulivyovisema pia voda hawatoi zawadi ya bingwa pekee, timu zote zilizoshiriki ligi kuu zimepata hela kutoka voda sasa timu zote ni mabingwa?Ligi ya uingereza na vpl ni mbingu na ardhi, uko uingereza timu inaingiza mapato kupitia, mdhamini mkuu wa timu(kampuni) vifaa vya michezo kama jezi n.k na viingilio lakini pia haki za kurusha matangazo...sisi huku ni tofauti labda
Ni million Mia Moja mkuu kama wanataka billion ni lazima wapambane wafuzu waingie kwenye makundi ya klabu bingwa Africa (CAFCL).Hiyo bilioni moja nani anatoa
Hata tukiingia wote Haitoshi, kiingili 3000 hadi 5090 Ni sawa na kusema US dollar 1 hadi 2 kiingilio itatosha nn?Mimi nafikiri cha kufanya washabiki tujae uwanjani kila mechi au wewe mtoa mada uongeze milioni mia4 ili bingwa apate milioni mia5
Kama vilabu vinataka kuvuna mabillioni ni lazima wafanye vizuri kwenye michuano ya kimataifa (CACL) maana huko ndiko kwenye pesa ya kuwafaa.TSh. 100,000,000 ya mshindi wa vpl ni sawa na dollar 42,500 za kimarekani. Huu Ni mshahara wa wiki wa mchezaji wa timu za daraja la chini uingereza. Are we serious?
Wadhamni lazima waongeze dau wasitufanye Kama sisi hatuelewi. Ni Heri Basi waache kutoa zawadi nyingine ili wamuongezee dau mshindi wa kwanza, pili, tatu, na nne. Maana timu hizi huwa zinafanya uwekezaji mkubwa Sana ili ligi ivutie
Usisahau kuna kipindi ligi ilianza uku kukiwa hakuna mdhamini hadi ikawabidi Tff kuumiza vichwa.Sta hicho kidogo tunachokipata tushukuru kwasababu ukiangalia kwa mapana utaona nikama Tff na vilabu ndo inayowahitaji zaidi wadhamini kuliko wadhamini kuwahitaji wao.Kwahiyo hiyo inaonyesha kua bado soka letu halijakaa kibiashara zaidi yakua burudani tu.Kwahali iyo lazima makampuni mengi yaogope kuwekeza sana.TSh. 100,000,000 ya mshindi wa vpl ni sawa na dollar 42,500 za kimarekani. Huu Ni mshahara wa wiki wa mchezaji wa timu za daraja la chini uingereza. Are we serious?
Wadhamni lazima waongeze dau wasitufanye Kama sisi hatuelewi. Ni Heri Basi waache kutoa zawadi nyingine ili wamuongezee dau mshindi wa kwanza, pili, tatu, na nne. Maana timu hizi huwa zinafanya uwekezaji mkubwa Sana ili ligi ivutie
Kufanyanya vizuri CACL lazima ufanye vizuri VPL kwanza. Kufanya vizuri VPL unahitaji uwekezaji mkubwa, Waamuzi wazuri wanaochezesha kwa haki na weledi, ratiba nzuri ya ligi na viwanja vizuri. Vyote hivi hatuna.Kama vilabu vinataka kuvuna mabillioni ni lazima wafanye vizuri kwenye michuano ya kimataifa (CACL) maana huko ndiko kwenye pesa ya kuwafaa.
Mzee watanzania hatuna tabia ya kugharamia furaha na starehe zetu, ndio maana watu wanaibeza Yanga inapotembeza bakuli. Mashabiki wa Simba kwamfano Wanakenulia hela za mo ziwaletee furaha na Raha wanayoihitaji, hawanunui jezi original za Simba Wala bidhaa za mo energy. Wanataka pepo bila kutaka kufa.Kama nchi baro hatujawekeza kisawasawa kwenye sekta ya michezo kwa ujumla wake.Michezo yetu tunaifanyia kwenye mdomo kwakupiga porojo nyingi bila mipango wala mikakati.Sasa kwa hali hiyo sio rahisi kupata wadhamini watakao toa zaidi au pia wanachama na mashabiki kujitoa kwa hali na mali kusaidia vilabu vyao.Sasa ili kuboresha ilo zinahitajika nguvu za pamoja za wadau wote kukaa nakujadiliana nini kifanyike na mkakati huo uwe endelevu sio wa zima moto.