Tsh 1000 kwa picha ya katuni/ Superhero utakayochora

Joined
Mar 21, 2024
Posts
25
Reaction score
28
Habari wakuu!

Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk

Shida inayonirudisha nyuma ni kuwa sjui kuchora. Hivyo natafuta mtu ambaye anajua kuchora na nitakuwa namlipa 1k kwa kila picha atakayoichora.

Kama unajua kuchora tafadhari tuwasiliane.
Screenshot_20240406-124315_Instagram.jpg

Huyu hapa ndo character wangu. Nataka mtu wa kumchora akiwa kwenye pozi mbalimbali.
 
Habari wakuu!

Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk

Shida inayonirudisha nyuma ni kuwa sjui kuchora. Hivyo natafuta mtu ambaye anajua kuchora na nitakuwa namlipa 1k kwa kila picha atakayoichora.

Kama unajua kuchora tafadhari tuwasiliane.
View attachment 2964446
Unataka kuchora kupitia nn paint Microsoft au? Mm mchoraji mzuri. Nitaweka sampo ya kuchora kwa mkono kwanza hapahapa soon
 
Un
Habari wakuu!

Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk

Shida inayonirudisha nyuma ni kuwa sjui kuchora. Hivyo natafuta mtu ambaye anajua kuchora na nitakuwa namlipa 1k kwa kila picha atakayoichora.

Kama unajua kuchora tafadhari tuwasiliane.
View attachment 2964446
Unategemea kuweka fasihi iliyofichwa au kuweka fasihi waziri ili tutafte jina hapahapa na nimuwekeje wekeje. Je unatka awe mtu anayezubgumzia mfumo wa utajiri vs umaskini ukweni kukosoa ufisadi na ubadhilifu au kero kwa slum dwellers... Etcetera
 
Ni superhero (shujaa) ambaye kazi yake ni kuwapigania watanzania wote wanaoonewa kwa ujumla na Tanzania kama taifa(mali zake, maliasili, nk)
 
Un

Unategemea kuweka fasihi iliyofichwa au kuweka fasihi waziri ili tutafte jina hapahapa na nimuwekeje wekeje. Je unatka awe mtu anayezubgumzia mfumo wa utajiri vs umaskini ukweni kukosoa ufisadi na ubadhilifu au kero kwa slum dwellers... Etcetera
Jina lipo tayari anaitwa TANZANIAN. Fasihi yake ntakuwa naiandaa mwenyewe kazi yako ni kuchora tu!
 
Kwa nn idea yako ukaiita "busara za mkufunzi" hapo utacheza vizur na content hizo. Wewe utajikita kwenye critical matters na unawez kucheza na vibonzo visivyoongea ingawa ni fasihi ngum sana.

Yule wa kipanya haongeagi yeye ni observer na sio active participant mana anashangaaga na kusema "duh"
 
Back
Top Bottom