Habari wakuu!
Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk
Shida inayonirudisha nyuma ni kuwa sjui kuchora. Hivyo natafuta mtu ambaye anajua kuchora na nitakuwa namlipa 1k kwa kila picha atakayoichora.
Kama unajua kuchora tafadhari tuwasiliane.
View attachment 2964446
Huyu hapa ndo character wangu. Nataka mtu wa kumchora akiwa kwenye pozi mbalimbali.