Ashery Eliakim
Member
- Mar 21, 2024
- 25
- 28
- Thread starter
-
- #21
Usisumbuke kwenye idea na fasihi mkuu...script zipo tayari nnachotaka ni mtu mwenye uwezo wa kuchora basi😎Kwa nn idea yako ukaiita "busara za mkufunzi" hapo utacheza vizur na content hizo. Wewe utajikita kwenye critical matters na unawez kucheza na vibonzo visivyoongea ingawa ni fasihi ngum sana.
Yule wa kipanya haongeagi yeye ni observer na sio active participant mana anashangaaga na kusema "duh"
Ingependeza kama ungeweka sample ya picha yoyote uliyochora ili tuone kazi zakoMimi nipo mchoraji mzuri nicheki pm tuongee
Kuchora nilijaribu karibu miaka kadhaa nyuma mana niliomba kazi hiyo pale Lumumba kwenye gazeti la uhuru. Na procces za kunipa nafasi zilikuwepo..Usisumbuke kwenye idea na fasihi mkuu...script zipo tayari nnachotaka ni mtu mwenye uwezo wa kuchora basi😎
Mchore TANZANIAN hata kwa mkono nitumieKuchora nilijaribu karibu miaka kadhaa nyuma mana niliomba kazi hiyo pale Lumumba kwenye gazeti la uhuru. Na procces za kunipa nafasi zilikuwepo..
Niliacha sababu ya vifaa mana nlilazimika kutumia desktop ya ofisi. So Nina moderate level ya kutumia paint, lakin Nina uwezo mzuri wa kutumia mkono.
Kuna jamaa juu hapo anasema anawez kuchora vizuri, wasiliana nae. Msisitize aweke picha zake hapa tuzione
Okay.Mchore TANZANIAN hata kwa mkono nitumie
Bado tu?Okay.
Bro mchore TANZANIAN weka sampo hapa, picha kila mtu anaweza kuchukua huko ata mitandaoni akapost.View attachment 2966274nimechora moja hiyo kwa peni Kama utapendezwa utanipa idea nichore mhusika wa aina gani anaeendana na script zako Ila ni mchoraji mzuri hiyo Kama sample tu
Vipi bado hujafika home???Nikifika homu nakuchorea usipe hata 100.
Hii hujachora ww am suree
Au mm ndio sijaelewa huyo Tanzanian anatakiwa awejeBro mchore TANZANIAN weka sampo hapa, picha kila mtu anaweza kuchukua huko ata mitandaoni akapost.
Nimemuelewa hio picha uliyotuma haina Watermark kwamba umechora wewe chora kikatuni Chenies Identity ya huyo Mr Tanzania ndio anavyotaka mfano kikatoni tumboni kimeandikwa Tanzanian au kana bendera au kamevaa Soksi za benders ya Tz.Au mm ndio sijaelewa huyo Tanzanian anatakiwa aweje
Si nimeweka picha yake apo mkuuAu mm ndio sijaelewa huyo Tanzanian anatakiwa aweje
Sio nashindwa kuelezea, hiyo picha unayoona hapo huyo ndo TANZANIAN mwenyewe, nataka mtu amchore either akiwa kama nilivyompost au akiwa kwenye pozi tofautiNimemuelewa hio picha uliyotuma haina Watermark kwamba umechora wewe chora kikatuni Chenies Identity ya huyo Mr Tanzania ndio anavyotaka mfano kikatoni tumboni kimeandikwa Tanzanian au kana bendera au kamevaa Soksi za benders ya Tz.
Anashindwa kuelezea jamaa
Shem mbona km umemchora ex wangu 🤣🤣🤣🤣Imenichukua dakika 2 tu ku'craft' hiki kibonzo
Leta dealHabari wakuu!
Nimekuwa na hamu ya kumiliki character wangu anayeitwa TANZANIAN (kama masudi alivyo na Kipanya, au kulivyo na madenge, nk) ambaye nitaweza kumtumia kwenye ujasiriamali mbalimbali mfano kutengeneza jarida, kutengeneza content za social media (animation videos) nk
Shida inayonirudisha nyuma ni kuwa sjui kuchora. Hivyo natafuta mtu ambaye anajua kuchora na nitakuwa namlipa 1k kwa kila picha atakayoichora.
Kama unajua kuchora tafadhari tuwasiliane.
View attachment 2964446
Huyu hapa ndo character wangu. Nataka mtu wa kumchora akiwa kwenye pozi mbalimbali.