Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

NEGAN

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
797
Reaction score
1,653
Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai.

Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
 
Naam pesa taslimu 300k tsh ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biahara 🤝🏽
Sasa mkuu ndio utake IPhone macho matatu kwa laki hiyo!

Sasa tecno F1 si bora uende dukani tu ukanunue mpya bora zaidi ya hiyo!
 
Ongeza ongeza nikuachie huo mkwaju upo na kila kitu chake ni mimi ndio natumia
20220402_155652.jpg
20230103_120459.jpg
 
Back
Top Bottom