mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Shule za private kuna ada tena kubwa tu. lakini hata fomu za kujiunga zinalipiwa. tena ipo michango kama ya masomo ya remedial, computers n.k.nje ya ada. hii ndo maana masomo yanaimarika kwa sababu yako fully financed.
kati shule za serikali fedha ni kiduchu sawa na dose moja ya malaria kugawia wagonjwa kumi. malaria itapona kweli. kama jibu ni hapana basi hata elimu kwenye shule zetu haitaimarika ikiwa wote tunalalamika hata kwa elfu tano ya fomu!