Kenya 2022 Tsh. Bilioni 3.8 kutumika kwenye uapisho wa Rais Mteule William Ruto

Kenya 2022 Tsh. Bilioni 3.8 kutumika kwenye uapisho wa Rais Mteule William Ruto

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani.

Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa kipindi cha mpito cha kuhakikisha kunakuwa na uhamisho wa amani wa mamlaka kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta kwenda kwa Rais Mteule Dkt. William Ruto.

Taarifa ya Ikulu imesema tayari Rais Kenyatta amethibitisha na kuwahakikishia Wakenya kuwa ataheshimu uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha kuchaguliwa kwa Naibu Wake, na mchakato huo tayari umeanza.

============================

The Treasury has provided Sh200 million for next week's swearing-in ceremony of President-elect William Ruto after the Supreme Court upheld his election victory on Monday.

The Supreme Court dismissed a petition by former Prime Minister Raila Odinga that challenged the declaration of Dr Ruto as President-elect after the August 9 General Election.

The Constitution stipulates that the President-elect will be sworn in seven days after the Supreme Court upholds the election victory following an election petition.

The Treasury allocated funds to the Assumption of Office committee that is preparing for the transition of power from President Uhuru Kenyatta to Dr Ruto.

“The allocation of Sh200 million under the Executive Office of the President is provided for in the National Treasury for Assumption of Office activities,” the Treasury says in a report on the Pre-Election Economic Update.

The Assumption of Office of the President Act, 2012, outlines the procedure that must be followed to ensure the winner of a presidential election ascends to power within specific timelines.

The Act establishes a 20-member Assumption of the Office of President committee chaired by the Secretary to the Cabinet.

The law mandates the State to declare the day of the swearing-in as a public holiday. The Act also specifies the exact times for particular activities, indicating that the oath is taken between 10am and 2pm on the identified date.

The Chief Justice will administer the oath of office to the President-elect alongside the registrar of the High Court.
Once the President-elect is sworn in his deputy will also take the oath of office after which President Uhuru Kenyatta will be expected to hand over the instruments of power such as the Constitution and the sword of power to the new head of State.

The outgoing President will then leave for State House to officially hand over to his successor.

NATION AFRICA
 
Tena ukute hizo hela amezishika mtu mmoja anatoa anagawa anaandika cheki anafanya kila kitu yeye. Chenji inayobaki anapiga anasepa.

Kalamu atakayotumia WSR yawezekana imenunuliwa wa Million moja kumbe ni bic ya Ksh 8/=. Kenya iyo ni kawaida sana.
 
Sio tu Kenya inchi nyingi za kiafro hufanya hivyo katika Manunuz yake.
 
Tena ukute hizo hela amezishika mtu mmoja anatoa anagawa anaandika cheki anafanya kila kitu yeye. Chenji inayobaki anapiga anasepa.

Kalamu atakayotumia WSR yawezekana imenunuliwa wa Million moja kumbe ni bic ya Ksh 8/=. Kenya iyo ni kawaida sana.
Hahaaa....kuna MTU maisha yake yanaenda kubadilika forever. Gamblers
 
Back
Top Bottom